Sunday, December 18, 2011

Shilole's show @ Nyumbani Lounge.........Ndo tunafunga mwaka-----------

I love my self, look at my skin..... hapa hakuna mkorogooo, ni shear butter, vaseline, na shear scrub.......jamani hakuna kitu kinachoniboa kama kupiga picha then unaonekana makeup ilimopita, jua makeup no.yako and that's it.

To all the single mothers....just love your self, work hard, and always pray to God to help you to raise your kid/kids.

kwa kweli kama mtakubaliana nami, kama sijakuambia nina mtoto wa miezi 10, si unaweza usijue ka nina mtoto.......(fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress zisizo na maana, pumzika vizuri, na kunywa maji ya kutosha + matunda na mboga za majani ) 


with friends,,,, Nashukuru Mungu nimeweza kurudi kwenye shape yangu baada ya kujifungua, 


twacheza mduara, wa kwanza ni Gear Habib, wa tatu ni Dina Marios, na wa mwisho ni mimi......

Wanenguaji wa shilole....



Up coming musician......

Dina & I

Mamaaa shilole mzigoniii

Hapa sasa walipambanishwa kucheza, ilikua ni wale wenye high heels........ ilikua bombaaaaa

tukiserebukaaaa baada ya washindi kupatikana


walipatikana washindi, na wakikabidhiwa zawadi zao kutoka savana beer...

Mduaraaaaa

Upambaji wa ngazi........



Holiday Decorating Ideas for Small Spaces....










Hizi ni baadhi ya decorations kwa wale wote wenye space ndogo, majumbani kwao, sio lazima uwe na mti mkubwa, ama mataa, etc. unaweza hata ukatumia kutandika dinning table yako kwa kutumia vitambaa/table mats, ama table runners, nyekundu na nyeupe, na ikapendeza pia.............

Quick & Easy Christmas Decor -







Hizi ni baadhi ya decorations za X-mass, ambazo unaweza kuzifanya kwa haraka haraka, kama hauna mti wa X-mass, it's fun enjoy

Friday, December 16, 2011

Hi guys I'm 10 month now............


na udenda huooooooo,,,,, nawapenda wote..........

From Jaydan

An interview with Mrs. Saumu of the Citizen Newspaper (it was last thursday)






Nilitembelewa na dada Saumu wa gazeti la citizen, na alinihoji juu ya ujasiriamali, na changamoto ninazokumbana nazo. Nashukuru interview ilikwenda vizuri, 

Usikose gazeti la citizen kesho, kwenye makala ya woman.....

Thursday, December 15, 2011

Naomba radhi

Kwa muda wa kama wiki na nusu hivi, mmeona kimya ni kwamba, nilikua na tatizo la internet, ila nashukuru internet provider wangu wamelifanyia kazi na sasa niko hewani,

Samahani kwa usumbufu uliojitokeza.

Sylvia - a.k.a mama Jaydan