Tuesday, September 8, 2015

RANGI ZA NJE....ZA DULUX....MOHAWK VALLEY & BEIGE SAND

 Sasa hivi tumeanza kupata soko Morogoro....asante sana mteja wetu kwa kutuamini na kuja kununua rangi zetu
 Mteja huyu alikuja kwetu kununua rangi na alielekezwa na jirani yakebaada ya zile mvua kubwa kunyesha....na majirani wengine rangi zilikua zimebabuka na kupauka kabisa..na walipaka mda mfupi tuu.. .lakini nyumba ya aliyepaka rangi zetu za dulux huyo wa 1..nyumba yake ilikua kama mpya...wakati ilitimiza mwaka 1...
hebu ona...mtu aliyepaka rangi miezi 6 inachakaaa wakati aliyetangulia kapaka mwaka 1 bado iko vizuri....kama mpya...

 Karibuni sana kwa mahitaji ya rangi za dulux...za ndani naza nje...ni imara nzuri na hudumu na kuhimili hali ya hewa yoyote ile...na pia tunakupa ushauri rangi gani utumie na kupendeza....
Tuwasiliane....0713920565

No comments:

Post a Comment