Tuesday, January 6, 2015

LIVING ROOMS....


 Mpangilio wa sebule yako inategemea na ukubwa wa chumba hicho....kuta zikoje...etc....kuna sebule zinafaa Lshape tuu sofa..hivyo usilazimishe kuweka sofa nyingi....na kuna sebule zinakubali aina yoyote ile...na kwenye mpangilio anza kupanga vitu vikubwa vikifatiwa na vidogo.....bila kusahau mpangilio wa rangi na vitu vidogo. Vidogo......



No comments:

Post a Comment