Monday, October 6, 2014

HOME GOODS RESALE.....

Carpet hii kwa mahitaji wasiliana na 0719 - 296757.


Hiki ni kipengele.... ni kile cha for sale.. ila nimekibadilisha jina na kukipa jina lingine.. ambalo ni home goods resale...nimeona hili limekaa vizuri zaidi.. ila nakaribisha ushauri wenu wadau....

Kama una furnitures.. iwe niza nyumbani ama ofisini... naomba nitumie picha za hizo furniture.. kwenye what's app 0713- 920565 ama email:  homezdeco@ yahoo.com nami nitatangaza bure.. bila malipo yoyote yale.. na nitatangaza kwenye blog na kwenye instagram page yetu  ambayo ni @ homezdeco
 Kabati hii niya tv... inauzwa....tafadhali kwa mahitaji yake.. wasiliana kwa namba hizi 0719 - 296757.
 Carpet hii wasiliana na 0713- 920565


Kindanda hiki ni mninga inauzwa pamoja na godoro lake  wasiliana na 0783- 537320.

Nb: kwa mauziano na maswali... nimetoa namba hizo hapo.. na homez deco hatutahusika na mauziano.. ama maelewano.. etc... homez deco nikutangaza tuuu....

No comments:

Post a Comment