Wednesday, April 30, 2014
Tuesday, April 29, 2014
ODA YA SETI YA KITANDA........
Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja...
nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lake ni safi...muda wote....yeye ameamua kutumia matress protector....
Labels:
Interior
STOOL YA MNINGA.....
Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona....
karibuni kwa mahitaji ya furniture za mbao aina yoyote ile....wasiliana nasi kwa simu namba 0713-920565.
Labels:
Interior
Monday, April 28, 2014
KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014....
Nina mshukuru Mungu kwa siku hii.....niliweza kwenda kupata mafunzo...na kupima pia afya yangu....Mungu ni mwema kwangu.....
MADIRISHA KWENYE NGAZI.....
Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina kua ndogo ndogo....
Kwa kweli mimi binafsi sielewi maana ya kuweka hivi vidirisha.......kua mwanga upite ama hewa..ama ni urembo....na unawekaje dirisha chini namna hiyo......
Hapo kwa haraka haraka ni kosa la nani....
Kila mara naleta wenzetu wanafanyaje kwenhe ngazi zao.....nyumba zao etc.....
Naomba kusisitiza...ukisha chorewa ramani kabla ya kujenga tafadhali tafuta mtu wa interio akuchoree kwenye 3d...mpe ramani yako....na makosa utayaona na kurekebisha kwenye computer na utaokoa vingi kwa kweli.....
Labels:
Interior
Thursday, April 24, 2014
UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO.......
Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuongelee hii walkinn closet....
Labels:
Interior
MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......
Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote......
Labels:
Interior
Wednesday, April 23, 2014
LAUNDRY ROOM.........
Siku hizi kwenye nyumba baadhi ninazoenda....kufanya kazi wenye nyumba wamekua wakitenga chumba cha kufulia.....nje ya nyumba ama ndani karibu na jikoni......kulingana na wanavyotaka .....
Labels:
Interior
Tuesday, April 8, 2014
KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA......
Leo naomba tuone.....hii sehemu ya nchi ya ngazi kwa wenye nyumba za ghorofa....
mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hua asilimia kubea kunawekwa viatu..ama kuna choo kwa mbele...ama ndio stoo....na inakua haina mpangilio mzuri....
mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hua asilimia kubea kunawekwa viatu..ama kuna choo kwa mbele...ama ndio stoo....na inakua haina mpangilio mzuri....
Labels:
Interior
Friday, April 4, 2014
COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE......
Labels:
Interior
SHELVES.......ZA JIKONI....NI MBAO PAMOJA NA CHUMA....
Hapa tuliweka shelves hizi....kwa kua mwenye nyumba hakua na makabati ya jikoni...sasa wakati anajipanga kwa hilo....ndipo tukamtengenezea shelves hizo......
Labels:
Metal
Thursday, April 3, 2014
SOFA INAUZWA....NA IKO KWENYE HALI NZURI.......TUWASILIANE....KWA MAHITAJI....0713-920565
Wapendwa wadau......sofa hii inauzwa na na bado iko katika hali nzuri....rangi ni purple and black....
Bei ya sofa ni 1.2 mil......maongezi yako.....wasiliana nasi kwa namba hapo juu
Homez deco tunawakaribisha kutangaza nasi katika kuuza fanicha zako......
Labels:
For Sale
Subscribe to:
Posts (Atom)