Thursday, January 23, 2014

L-SHAPE SOFA......LINAUZWA....NI JIPYA......

 Sofa hili limetengenezwa nasi homez deco...na lina lebo zetu.....ni sofa la watu 5....lina ubora na viwango vya juu .........

Tunawakaribisha wote kwa mahitaji ya sofa.....bei ni 1.9mil.  wasiliana nasi 0713 - 920565

NB:
Tumeanza rasmi kutengeneza sofas.....za viwango na nzuri......kwa muundo wowote ule utakao.......catalogues zipo.....na waweza kuja na catalogue yako na ukatengenezewa.......karibuni wote...

1 comment:

  1. naitaka hiyo L shape ina ihusishe brown na orange moja liwe na watu sita ingine watu 3 jumla watu 9 ni bei gani mdada nitumie msg 0713301697

    ReplyDelete