Kwanza kabisa napenda kuomba radhi kwa kua kimya kwa kipindi kirefu kidogo......na hii ni kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wangu ya kifamilia..........sasa nimerudi tena....kwa speed kama kawaida......
Homez Deco tuliitwa mbagala na mteja wetu, kwa ajili ya ushauri wa rangi, pazia, furnitures na accessories.....za ndani.
Nasi bila kuchelewa, tulikwenda na kutoaushauri kwao, na baada ya makubaliano ya rangi. tulianza kazi mara moja.......
Picha ya juu ni kabla hatujaanza kazi jinsi nyumba ilivyokua na muonekano wako......na kama uonavyo, rangi zimefifia za ukutani, na haieleweki......hii huchangiwa na ubora wa rangi utumiazo.....