Tuesday, April 5, 2011

Tunashona Mapazia, foronya za mito - Bei karibu na bureeeeeeee


Baada ya ukimya wa muda mrefu, nimerudi toka maternity leave, Kreative Homez - Homez Deco, tunayo furaha kuwatangazia kua sasa tuna shona mapazia ya design yoyote ile, eg. maofisini, majumbani etc. iwe ni materials zako ama ni za kwetu,

Gharama ni ya kawaida kabisa, Mafundi wetu wanakuja kupima maana hatupokei vipimo vya mteja mwenyewe, kuepuka lawama, na tunakuja kufitisha sisi wenyewe.

Tunawakaribisha, wote, wa mikoani pia tunakuja mkituhitaji.

Kwa sasa duka limehamia kinondoni studio, barabara mpya karibu na sterio bar.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

4 comments:

 1. Hongera sana kwa kuwa mama na karibu kwenye ulimwengu wa malezi. nimefurahi unaendelea vizuri na umerudi rasmi. nina shida ya mapazia matatu tu, naomba uniambie bei zenu zinakwendaje na pia nielekeze vizuri ofc zenu zilipo.

  ReplyDelete
 2. Me naomba uweke namba ya kuwasiliana na hapo ofisini ili iwe rahisi kufika... nina shida ya mapazia ya 3 bedrooms, sitting, dining na jikoni!!

  ReplyDelete
 3. Tutapita hapo dear! welcome back!

  ReplyDelete
 4. hi, namba ya kuwasiliana ni 0713 - 920565. karibu

  ReplyDelete