Wednesday, April 13, 2011

Baadhi ya kazi zetu Homez Deco-Kreative Homez- Karibuni sana.hizi ndizo baadhi ya display zilizoko dukani kwetu, tunashona mapazia, pillow cases size zote, tunauza mito size zote, maua artificial, tuna repair makochi design zote, na kutengeneza pia. Catalogues za masofa tunazo. Mafundi wakiwa mzigoni hapo.


Duka liko kinindoni studio, karibu na sterio bar kinondoni hii barabara mpya ya lami. Tuwasiliane 0713 - 920565. Bei zetu ziko resonable kabisa na inatokana na designs. Tunakuja kupima maana hatupokei vipimo vya mteja, na tunakuja kufitisha bila extra charges, mpaka mikoani tunafika.

KARIBUNI SAMA SAMA

2 comments:

  1. Hope unaendelea vizuri na mwanao,me nataka mapazia ya ndani ila nataka jua bei zako zinaendaje, pia nataka na moto ya mapambo yakuweka kwenye masofa. Ahasante mpendwa.

    ReplyDelete
  2. pls post ur business phn no.

    ReplyDelete