Monday, April 11, 2011

Baby Jaydan - 2 month old (hapa hatujaanza maziwa ya kopo) tukianza jeee hahahahahah - tuna 6kg.Namshukuru Mungu kwa kunikuzia mtoto wangu, na nawashukuru wote wadau wangu kwa kunivumilia kwa kipindi cha ulezi, asante sana, Sasa nimerudi tena mzigoni. Karibuni sana sana.

3 comments:

  1. OMG!Baby Jaydan is growing too fast,soo cute mwaaa!

    ReplyDelete
  2. ehe unaona ulimcheka vida wangu ananyonya kidole nadhani matokeo umeyaona kwa jaydan. hongera kwa kukuza.
    Elias kateta

    ReplyDelete