Wednesday, April 13, 2011

Skin products to all types - from USA
Kwa wale wanaosumbuliwa na strech marks, sugu za kwenye vidole vya mikono, magoti na viwiko vya mikono, tuna mafuta ya kuondoa tatizo hilo kabisa. Yanaitwa cocoa butter deep conditioning ni product ya vaseline iko kwenye tube bei ni 20,000. Ina faa pia kwa waliojichubua kurepear ngozi zao.

Tuna vaseline za wanaume pia bei ni 20,000 ndogo na kubwa ni 30,000. Yaani ninaipenda kwa sababu ina harufu nzuri na inakaa muda mrefu.

Sikaa mbali kwenye wallets za kike, ni nzuri na zina partition nyingi, na ni imara pia, unaweza pia kuzibeba peke yake kwani zina muonekano mzuri. Bei ni 35,000/-

Na zingine kama mnavyoziona, zote ni orignal, mafuta ya flavours mbalimbali yanafanya ngozi kua ina moisture, soft etc. na hayachubui. Shear butter iko njiani.

Nimekua nikipata maswali kama nimepata strech marks wakati wa ujauzito na nimetumia nini kutoa. Mimi sikupata strech mark hata moja. kwa sababu tokea mimba ikiwa ndogo, nilikua nikipaka mafuta mengi tumboni, ambayo ni hii deep conditioning ya vaseline ya tube pamoja na mafuta ya mgando ya vaseline, wakati wa asubuhi na jioni. Tumbo lilikua jeusi tuu ila hakukua na strech mark hata moja. (nitapiga picha yake any day)

No comments:

Post a Comment