Before the Makeover
After the Makeover
Holiday ndio hiyooooooooo, Umejiandaaje?
It's easy. Huitaji kutumia hela nyingiiii,
1. Tundika picha ukutani. Kama zipo basi zifute vumbi.
2. Fanya usafi
3. Badilisha mapazia, (kama unayo ndani badilisha, ama karibu Homez Deco tukushonee bado huja chelewa.)
4. Tupia mito kwenye makochi yako, mito yenye foronya yenye rangi bright ama za kupooza
5. Bila kusahau maua etc.
Monday, April 18, 2011
Wednesday, April 13, 2011
Baadhi ya kazi zetu Homez Deco-Kreative Homez- Karibuni sana.
hizi ndizo baadhi ya display zilizoko dukani kwetu, tunashona mapazia, pillow cases size zote, tunauza mito size zote, maua artificial, tuna repair makochi design zote, na kutengeneza pia. Catalogues za masofa tunazo. Mafundi wakiwa mzigoni hapo.
Duka liko kinindoni studio, karibu na sterio bar kinondoni hii barabara mpya ya lami. Tuwasiliane 0713 - 920565. Bei zetu ziko resonable kabisa na inatokana na designs. Tunakuja kupima maana hatupokei vipimo vya mteja, na tunakuja kufitisha bila extra charges, mpaka mikoani tunafika.
KARIBUNI SAMA SAMA
Skin products to all types - from USA
Kwa wale wanaosumbuliwa na strech marks, sugu za kwenye vidole vya mikono, magoti na viwiko vya mikono, tuna mafuta ya kuondoa tatizo hilo kabisa. Yanaitwa cocoa butter deep conditioning ni product ya vaseline iko kwenye tube bei ni 20,000. Ina faa pia kwa waliojichubua kurepear ngozi zao.
Tuna vaseline za wanaume pia bei ni 20,000 ndogo na kubwa ni 30,000. Yaani ninaipenda kwa sababu ina harufu nzuri na inakaa muda mrefu.
Sikaa mbali kwenye wallets za kike, ni nzuri na zina partition nyingi, na ni imara pia, unaweza pia kuzibeba peke yake kwani zina muonekano mzuri. Bei ni 35,000/-
Na zingine kama mnavyoziona, zote ni orignal, mafuta ya flavours mbalimbali yanafanya ngozi kua ina moisture, soft etc. na hayachubui. Shear butter iko njiani.
Nimekua nikipata maswali kama nimepata strech marks wakati wa ujauzito na nimetumia nini kutoa. Mimi sikupata strech mark hata moja. kwa sababu tokea mimba ikiwa ndogo, nilikua nikipaka mafuta mengi tumboni, ambayo ni hii deep conditioning ya vaseline ya tube pamoja na mafuta ya mgando ya vaseline, wakati wa asubuhi na jioni. Tumbo lilikua jeusi tuu ila hakukua na strech mark hata moja. (nitapiga picha yake any day)
Monday, April 11, 2011
Baby Jaydan - 2 month old (hapa hatujaanza maziwa ya kopo) tukianza jeee hahahahahah - tuna 6kg.
Namshukuru Mungu kwa kunikuzia mtoto wangu, na nawashukuru wote wadau wangu kwa kunivumilia kwa kipindi cha ulezi, asante sana, Sasa nimerudi tena mzigoni. Karibuni sana sana.
Tuesday, April 5, 2011
Tunashona Mapazia, foronya za mito - Bei karibu na bureeeeeeee
Baada ya ukimya wa muda mrefu, nimerudi toka maternity leave, Kreative Homez - Homez Deco, tunayo furaha kuwatangazia kua sasa tuna shona mapazia ya design yoyote ile, eg. maofisini, majumbani etc. iwe ni materials zako ama ni za kwetu,
Gharama ni ya kawaida kabisa, Mafundi wetu wanakuja kupima maana hatupokei vipimo vya mteja mwenyewe, kuepuka lawama, na tunakuja kufitisha sisi wenyewe.
Tunawakaribisha, wote, wa mikoani pia tunakuja mkituhitaji.
Kwa sasa duka limehamia kinondoni studio, barabara mpya karibu na sterio bar.
Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
How to Get Rid of Almost Anything
No Sorrow in This Parting!
The key to clearing-out happiness is answering this question: Once you decide to ditch those shoes that always pinch, the dishes that never get used, or the blanket sleepers your first-grader once wore, what do you do with the stuff?
Unless your soon-to-be-former possessions truly qualify as trash, you won't want to set them out at the curb on pickup day to clog up your local landfill. Instead, give your stuff away, sell it, swap it, or recycle it. Which method's the smartest? It all depends, says Marilyn Bohn, author of Go Organize! "Do you want to get rid of stuff or do you want to make money?" How you choose to dispose of your stuff is contingent upon what the item is and its condition, how much profit you want, and how much work you're willing to do.
Shoes,Clothes etc.
Donate them to someone who needs them. There are plenty of charities that will distribute good-condition shoes etc, to those in need.

Subscribe to:
Posts (Atom)