Wednesday, February 16, 2011

Here he is baby Jaydan10 comments:

 1. AM SO HAPPY KUONA PICHA YA MTOTO KUJUA KWAMBA KILA KITU KIMEENDA SALAMA NA MUNGU AWE NA WEWE MAMII NA MTOTO WAKO AND I LOVE YOU..,ALL THE BEST

  ReplyDelete
 2. Hongera Slyvia kwa kupata mtoto. Mungu akujalie afya njema wewe na mwanao Jaydan. Tutakuja kukuona mpenzi.

  Alice (Mama Karungi)

  ReplyDelete
 3. Hongera jamani, mtoto mzuri sana

  ReplyDelete
 4. Hi all, nashukuru kwa salamu, nawapenda wote, na nashukuru nimejifungua salama, ila ndio tunakoma jamani na hili joto na mgao wa umeme jamani acha tuuuu.

  Nuru sorry kwa kukaa kimya, maana nilikua hata computer sitaki kuisikia jamani lol, na pole na matatizo. mungu ni mwema.

  ReplyDelete
 5. Hongera sana. Mungu awapatie afya njema wote. Pia nakutakia malezi mema.

  Mama Mission.

  ReplyDelete
 6. Hongera sana kwa kuwa mama,mie ni mpenzi sana wa blog yako lazima niipitie kila siku.Mama T

  ReplyDelete
 7. Hi Sylivia,
  Bwana apewe sifa.
  I am so happy for you!
  Hongera na Karibu mtoto Jayden.

  Ulini inspire saana wakati ukitoa taarifa za first and second trimester. Mi ndo naingia third semester..niombee pia!

  I envy you kiukweli na Mungu akukuzie!

  Mama Kitumbo

  ReplyDelete
 8. Hi Slyvia!! Hongera mpenzi mtoto mzuri na ana afya nzuri. Nimefurahi kumuona ila nitakuja physically nyumbani nimuone mtoto.

  Always Pendo Gabriel

  ReplyDelete
 9. Hongera sana ylivia

  ReplyDelete
 10. hongera sana.
  mtoto mashallah! munngu akukuzie.
  nahisi nakufahamu sura si ngeni my be tume soma wote oysterbay primary au makongo au cambridge academy i'm not sure wapi nimekuona. hongera kwa kazi nzuri tutafutane

  ReplyDelete