Monday, February 14, 2011

Happy Valentine's Day - 2011

Kwa wadau wote wa blog ya homez deco, napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi kwa kuwa kimya, nimekuwa nikiwakumbuka sana sanaaaaaa, mniwie radhi kwa hilo.

Mwaka huu umekuwa ni mwaka wa furaha kwangu kwa kuwa mungu amenibariki mtoto wa kiume tarehe 8/02/11. Furaha niliyonayo kwa kweli sijui niielezee vipi, na itachukua siku kadhaaa.

Nimejifungua salama na mimi na mtoto tuko salama. Mtoto anaitwa Jaydan.

Sometimes siamini kama eti nimeanza kuitwa mama Jaydan yaani nina a.k.a?. Mungu ashukuriwe na apewe sifa.

Me and Jaydan we are wishing you a HAPPY VALENTINES DAY.

Photos za Jaydan zitawajia muda sio mrefu.

From Sylvia a.k.a mama Jaydan
Homez Deco - Director

9 comments:

 1. Hongera sana mama Jaydan.Hakuna raha dunia hii kama ya kuitwa mama.

  ReplyDelete
 2. Hongera sana mama Jaydan, Mungu ni mwema sana. Pia Mungu awabariki na awape nguvu na awalinde ww na mtoto. Be blessed in every way...

  ReplyDelete
 3. Wow!!! Congratulation my dear,

  Mungu wangu aliye mbinguni. Kumbe ndo maana ulikuwa umenyamaza? Ni raha iliyoje?

  Naomba Mungu awape afya njema wewe na mtoto, umlee vizuri kama mama sylvia alivyokulea wewe.


  Hongera sanaaaa.

  mama brian - mwanza

  ReplyDelete
 4. hongera sana wewe pamoja na mumeo kwa kutuletea mtoto.

  ReplyDelete
 5. Hongera sana dear. Mungu akukuzie mama

  ReplyDelete
 6. congrats dear...Mungu akubariki na kukuzia mpz..

  ReplyDelete
 7. Nawashukuru sana sana kwa salamu, yaani jamani sasa hivi ni heshima na adabu kwa kina mama woteee, jamani mama Brian acha tuuu, namshukuru mungu tuko salama, love u all

  ReplyDelete
 8. Hongera mamii tunashuku Mungu kwamba wewe na cute Jayden mpo salama Mungu akukuzie.

  ReplyDelete
 9. Hongera sana mama Jaydan
  Kweli Mungu ni mwema and am happy for you mydia. Mungu awajalie afya njema.

  ReplyDelete