Thursday, January 14, 2016

MATAIRI YA GARDEN

 Kwa mahitaji ya matairi ya kwenye garden tuwasiliane 0713920565 mikoani tunasafirisha.....kwa rangi upendazo zote zinapatikana rangi...tairi 1 ni 20,000....karibuni



MAKABATI YA JIKONI

 Kwa mahitaji ya makabati ya jikoni ya mbao tuwasiliane 0713920565 karibuni sana....


Wednesday, November 11, 2015

BAADHI YA DESIGNS ZA GARDEN...


 Soon mawe haya ya garden yataanza kupatikana homez deco ...endelea kua nasi...

KWA MAHITAJI YA VYUNGU VYA GARDEN....WASILIANA NASI 0713920565

Homez deco tumeanza kutengeneza vyungu vya maua...size utakayo...
Sizes na bei yake..
Ndoo ya lita 20 bei 45,000
Ndoo ya lita 10 bei 35,000
Lita 4 bei...30,000

Karibu sana sana weka oda yako na utuambie rangi upendayo

Monday, November 2, 2015

RANGI ZA DULUX...


Nyumba ya mteja wetu Arusha.....rangi za dulux zimetumika ukutani...imeingia ndoo 1 ya lita 20...na lita 10 ya vikopo vya lita 5 balcony mbele na nyuma....
Kwenye hayo mawe ya tanga stone hatujagusa....ni ukutani tuu kwa juu.....




Kwa mahitaji ya rangi za dulux...tuwasiliane...0713920565