Thursday, July 17, 2014

WALLPAPERS. ....ZIKIWA ZIMEBANDIKWA NYUMBANI KWA MTEJA WETU.....

 Hapo ni sitting room ya mteja wetu ambae aliona tangazo la bidhaa zetu mzigo ulioingia..nae akaja dukani kwetu kununua wallpapers. ....na tukampa fundi kwenda kumbandikia..
Tunakushukuru mteja wetu....

No comments:

Post a Comment