Thursday, May 8, 2014

SHADES OF YELLOWS. ......


Rangi ya njano....ikitumika vizuri huleta mvuto na hupendeza.......na kwa sababu rangi hii ni kali basi inashauriwa kutumika kidogo...sehemu ambapo unataka itumike....


Rangi hii ya njano....inaweza ikawa imeiva...imepauka....imekolea....maana katika rangi moja inaaminika hua inabadilika mara 24...kuanzia ikiwa imeikolea mpaka kupauka...sasa inategemea na matumizi yako na wapi unataka kuweka.Rangi hii inaweza kutumika katika mapambo...ofisini...majumbani ...etc...ili mradi tuu ipangiliwe vizuri.....

Rangi ya njano...inaweza kutumika...chumbani kama kwenye mapambo....na iliyopooza ukutani...ama sebuleni.....kwenye mapambo pia..ama jikoni....ukutani ama vyombo ama jiko lenyewe....vyooni pia....basi ilimradi tuu itumike kwa uangalifu...mkubwa isije ikakukera...baada ya muda mfupi.


2 comments:

  1. Njano and Gray ni perfect match! I love them.

    ReplyDelete
  2. My sister loves yellow, I'm sure she'll get jealous when she gonna see this decor. I love them too! And that sofa of perfect for my new condominium in Makati. :)

    ReplyDelete