Wednesday, October 9, 2013

MORE 3D DESIGN,

Tunaendelea ku design kwa 3d kwa wateja wetu........na hii husaidia kujua fanicha zikaeje, rangi ziweje, floor pia iweje,  mapazia ya rangi gani etc......Karibu Homez Deco tuweze kukufanyia 3d Design hata kama umeshajenga na kuhamia, tunakukaribisha na tutakufanyia designing ya nyumba yako, ofisi, garden etc....

Wasiliana nasi......0713 - 920565 ama email: sylvianamoyo@yahoo.com

NB:
Hata kama unakaa nyumba ya kupanga, ama chumba kimoja ama viwili ama nyumba nzima......designing ni kwa watu wote.......

kukaa mahala safi, na penye mpangilio na salama ni muhimu kwetu sote.....

No comments:

Post a Comment