Wednesday, October 9, 2013

DAY BED....AVAILABLE BY ORDER @ HOMEZ DECO....(hardwood mkongo & mninga)

 Day bed hutumika kwa kupumzikia, unaweza kukiweka sitting room, balcony, ama kwenye korido kama ina nafasi......

 Homez Deco tunakuletea product mpya hii inayotengenezwa hapa hapa Tanzania....na mafundi wa Homez Deco, na ina finnishing nzuri kama unavyoona... rangi zozote utakazozichagua utapata kwa ajili ya mito yako.
Tunaweza kukuweka mbao kwa nyuma ya kiti ili mito ikae vizuri bila kuegamia ukuta, ama ikawa kama inavyoonekana......mito pia inapatikana Homez Deco.....

Karibuni sana kwa mahitaji ya Day bed........

Wasiliana nasi kwa mahitaji.......

2 comments:

  1. WEKA NA BEI DADA

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri sana Sylvia....Nikihitahi kitanda cha 5 X 6 kwa mbao hiyo na kwa rangi nyeusi naweza kupata? na bei itakua ni kiasi gani? asante na nakutakia kazi njema.

    ReplyDelete