Monday, February 25, 2013

Kitchen Hood.....

Hili ni jiko la mdau wetu.....ambapo Homez Deco tulimpakia rangi za Dulux...Lakini pia nilivutiwa na jiko lake.  Mnakumbuka kuna siku katika blog yetu nilizungumzia kuhusu Kitchen Hood, na kazi yake.....Kazi yake ni kunyonya unyevu na mvuke ambao hua unachafua sana jiko.....
Nilipendezewa pia na jinsi alivyo weka lebo katika kontena zake za kuhifadhia chakula...Kama inavyoonekana hapa.....Hata siku moja haitaweza kukupa shida ya kuanza kutafuta kontena ipi ina nini.......maana unaweza ukawa una kontena nyingi na zikakuchanganya...

Hili pia nililizungumzia la kuweka lebo kontena za chakula. na zinatakiwa ziwe zinazoonyesha ndani kuna nini.....
Mimi binafsi nilipendezewa na jiko lake,

Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza mdau wetu, kwa kua na jiko zuri na safi na lakisasa.....

(nitaomba contacts za hawa waliotengeneza jiko hili ili wadau nao muweze kua na majiko ya kisasa kama hili, maana finishing yao ni nzuri mno)

Nitalipiga picha jiko zima na kuweza kuwaletea humu humu.......

4 comments:

 1. Hongera sana jiko liko simple but nice nimelipenda sana

  ReplyDelete
 2. Acha ushamba hizo contena hajaweka yeye lebo.zinauzw3a shoprite kamata zikiwa na label kabisa.unajifanyaga unajua

  ReplyDelete
  Replies
  1. true hata mie nilishangaa wakati nazionaga zimeandikwa tayari. but nahisi kama umemparmia silvia kwa hasira sana, msamehe bure hata ye anavoenda site za watu anajifunza pia. sio kwamba amesomea hii kazi

   Delete
 3. Heee mbona kamaa unaugomvi na slivia mbona kwa ukali hivyo bibiwe sijui babuwe tuliza kisirani chako huko hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu tunafundisshana na kueleweshana.sikujui hunijui ila huna ustaarabu kajipange upya ndo uingie kwenye blog za watu au kam uko perfect na unajua kila kitu fungua nblog yako

  ReplyDelete