Tuesday, February 12, 2013

Hii ilikua ni birthday ya Jaydan ametimiza miaka 2. Tarehe 8/2/2013...Ilifanyika Mary Brown ya masaki....siku ya jumapili tarehe 10/2/2013

 Huyu ndie Jaydan wangu....Birthday Boy...2yrs sasa......
 Mama na mwana.....
 Nilitinga kivazi hiki.......
 Mama na mwana kabla ya party kuanza....
 Jaydan akiwa na kaka yake nje ya mary brown kwenye michezo....
 A kiss from my son......

 Michezo ilianza na watoto walicheza na kufurahi......yaani kama birthday boy Jaydan...alicheza karibu michezo yote.....alichangamka kupita maelezo....sasa nikajiuliza kwani amejua kama ni sherehe yake ama ni uchangamfu tuu.....hahhahahha nilifurahi sana sana....
 Baby girl anaitwa Nuru, na wamepishana mwezi mmoja na Jaydan wangu.... hapa akiwa kwenye pozi.....
 My best friend Halima.......marafiki wa kweli ni kwenye shida na raha.......thanks dear......
 Baby girl yeye alitulia akiwa anangalia wenzie wakicheza.....
 Dada yangu, wa tatu kutoka kulia.......akiwa na rafiki, na ndugu na jamaa.....( asante mama mkubwa kwa support)
 Dada wa mary brown akiandaa mshumaa kwa kuwasha...
 Cake....Nilichagua cake ya winnie the pooh......kwa mtoto wangu......
 Jaydan katika pozi....


 Halima na binamu yangu.....na watoto...
 Ulifika muda wa kukata keki.....


 Tulimuimbia wimbo wa happy birthday.....(akawa anashangaa shangaa mwenyewe) hapa najua hakuna aliye hisi, maana machozi yalikua yananilenga lenga.....sikujua hali hii ilitokea wapi...ila nilijikaza kuto toa chozi.....na shughuli iweze kuendelea......Thanks Lord aliniweza kuto dondosha chozi....
 Hapa akizima mshumaa.....alizima mwenye...alipuliza mara tatu na ukazimika...nilicheka mwenyewe tuuu
 Nilimsaidia Jaydan kukata keki....
 Nilimlisha Jaydan wangu keki yake......na kum busu shavuni......this moment i will never forget......I love you my son....
 Haya ikafika zamu ya mama kulishwa keki......ila hapa tulipata kazi kidogo....maana kila ukimpa anilishe...akawa anakula kwanza yeye....baadae ndio zoezi liliendelea la kulishana......hhahahhahah...
 Kaka Tevin akilishwa...ni mtoto wa dada yangu.....
 Huyu ndie dada yangu...nae alilishwa keki.....
 Huyu ni dada yake Jaydan....yaani namshukuru Mungu kila siku kwa kunipa huyu dada...niko nae tokea najifungua Jaydan.....na ananitunzia mtoto wangu vizuri...namshukuru dada.....sana sana......
 Keki zikiendelea kulishwa kwa watoto wengine.....


 Ulifika muda wa chakula......na kila mtoto akawa busy na chakula chake....
 Anaitwa Jamson, yuko na mama yake....
 Jaydan kwenye msosi akiwa na dada yake.....
 Hapo tumeshakula, sasa tunasoma ramani tuanzie wapi kucheza,,,,,,
 Dada yangu na rafiki yangu Haneem....Thanks for coming dear....

 Nikiwa na rafiki yangu Halima.....kwenye pozi la camera.....hahahhahah
 Rafiki yangu Haneem...


Nikiwa katika pozi tofauti tofauti........

Namshukuru Mungu kwa kila jambo na kuweza kunipa nguvu, uvumilivu, amani ya moyo, na kuweza kunikuzia mwanangu.....

Mwakani Jaydan ataanza shule, hivyo naendelea kumuomba mungu aendelea kunipigania, na kunipa nguvu na uhai, niweze kumlea Jaydan wangu vizuri, na kua mwenye utiifu, na mwerevu etc......


NB:

Napenda kuwaomba radhi kwa ukimya uliojitokea wa kuto upload blog kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu............ila sasa nimerudi....Nawashukuru kwa uvumilivu wenu......Asanteni.

11 comments:

 1. HAPPY BDAY JAYDAN

  ReplyDelete
 2. hongera sana kwa kukuza mwanao,,,happy birthday jaidan,,all the best mpenzi na mungu atakupa nguvu kila siku kama mama,,amena its me nuru the light

  ReplyDelete
 3. Sylvia bado nakushauri usichanganye biashara yako na maisha yako binafsi!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. WE NAWE, WALA HAWEKI KILA SIKU, ONCE IN A WHILE KU SHARE NA FANS KUNA TATIZO GANI???????

   Delete
 4. hongera kwa kukuza.happy birthday baby boy,hii ni blog yake muache afanye anavyotaka.kama hupendi usiingie humu

  ReplyDelete
 5. hongera sana mama happy birthday Jaydan!umependeza sana gauni ila nywele ndio zimenikosha zaidi ni nywele gani hizo u so beautiful.Mama T

  ReplyDelete
 6. mbona umetaka kuniliza na mimi, nimekua touch kweli uliposema machozi yalitaka kukutoka wakati unamwimbia Jayden wimbo wa birthday na mimi hiyo hali huwa inanipata kwa watoto wangu ninao wawili na ilishanitokea kwa first born wangu siku ya kigraduation chake cha vidudu wakati wanamwita mbele ile kusikia jina lake simanzi fulani hivi ilinipata nashukuru umesema kwa sauti nilifikiri ni mimi tu niko crazy na watoto wangu

  ReplyDelete
 7. my dear nimependa hiyo weaving...nitaipata waapi?!how much?!

  ReplyDelete
 8. my dear nimependa hiyo weaving...nitaipata waapi?!how much?!

  ReplyDelete
 9. watu wengine bwana sasa maisha binafsi yako wapi hapo?? labda hujui blog zinazoandika maisha binafsi sema nikuambie... Happy BDAY baby boy

  ReplyDelete
 10. hi my fans...

  Asanteni sana kwa comments zenu...yaani ninafarijika.....

  Hii weaving inaitwa peruvian, ni inch 18 kwa urefu... nani dada yangu anazileta, nimenunua kwakwe....anaziuza tshs. 400,000/- kwa maswali zaidi wasilianeni nae 0715 - 350912. maana mie na fashion kidogo niko nyuma hhaahhaha, hahhhahha.......

  ReplyDelete