Friday, November 11, 2016

RANGI ZA NYUMBA....Rangi za nje ya nyumba....nyumba ya mteja wetu....tulipaka rangi. Ndani na nje..na huu ndo muonekano wake baada ya kupaka rangi.

Picha ya chini ni kabla na baada ya kupaka rangi....tunashauri rangi za kupaka kwenye nyumba na maofisi ...kwa mahitaji ya kupakiwa rangi naomba tuwasiliane 0713920565 mikoani pia tunafika...

No comments:

Post a Comment