Monday, February 2, 2015

HOME GOODS RESALE.....

 Bidhaa hizi za watoto zinauzwa...hazina hata miezi 6 tokea zitumike....bado ni mpya mpya na ziko katika hali nzuri sana tuu...
 Karibuni dukani kwetu..kinondoni karibia na makaburini....utupigie simu tutakuelekeza hatuko mbali na hapo....na pia tu whatsapp kwa maelezo kamili...mikoni pia tunatuma bidhaa hizi...kwa gharama za mteja....


Hii ni baskeli ya mtoto ya kujifunzia kupata balance....sasa haina pedles..atatumia mguu


 Hizi ni gates za kufunga kwenye ngazi mtoto asipande bila uangalizi wa mtu mkubwa.....

No comments:

Post a Comment