[Homez Deco - Kreative Homez] New comment on Kitchen Layout DesignKitchen Floor Plans and Kitch....
Anonymous has left a new comment on your post "Kitchen Layout DesignKitchen Floor Plans and Kitch...":
Uwe unatoa na source za habari zako, unajua kitendo cha kuandika vitu toka kwenye vitabu moja kwa moja halafu hutaki kutoa source kama vile wewe ndio mtunzi ni ujambazi katika tasnia ya habari? (Plagiarism)
Publish
Delete
Mark as spam
Moderate comments for this blog.
Posted by Anonymous to Homez Deco - Kreative Homez at February 3, 2012 10:21 AM
Uwe unatoa na source za habari zako, unajua kitendo cha kuandika vitu toka kwenye vitabu moja kwa moja halafu hutaki kutoa source kama vile wewe ndio mtunzi ni ujambazi katika tasnia ya habari? (Plagiarism)
Publish
Delete
Mark as spam
Moderate comments for this blog.
Posted by Anonymous to Homez Deco - Kreative Homez at February 3, 2012 10:21 AM
Ni kwamba hujamwelewa au? anasema kama ukiweka post ambayo haija "originate" kwako, give credit to the source, bila hivyo utakuwa unaiba haki miliki ya watu wengine.
ReplyDeleteBtw, kweli watu tuna taste tofauti, hizo nyumba unazopamba full uchina na uarabu, too flashy!!!
Medussa
wewe uliezoea rangi za kijijini kwenu..tuachie sisi tunaopenda za kichina na kiarabu.
ReplyDeletetuna umshukuru yeye anayesoma kwenye kitabu na kukutafsiria wewe ambaye husomi hivyo vitabu, kwani alishawahi kusema ye ndio mtunzi wa kitabu au?
we umesomea wapi...hilo ni donge tu, na wewe anzisha blog yako utuwekee hizo rangi za kwenu ...na hiyo tasnia ya habari we umeisomea wapi...
ni mtazamo tu....
Mamie watu ndo walivyo, hawafurahii kabisaa kuona unachapa kazi na kazi yako inakubalika. Wacha wapige kelele sie wateja wako tumeridhia
ReplyDeleteinaelekea huyo mdau wa kwanza ndo mwenyewe alotuma hayo maoni.
ReplyDeleteHongera mdogo wangu kwa kujiajiri, naopenda sana kazi yako. Inshaallah ntakuwa mteja wako siku moja bado najikusanya.
Mama dja
hivi ni lini tutapendana !! ujumbe uliotumiwa uko sawa ila kauweka kiukali kidogo kwa mawazo yangu angeweka ka ushauri tu
ReplyDeleteNi vizuri kuweka source ya habari ambazo hazioriginate kwako
Kusema ukweli I like this blog and the the mdada in charge is doing great i dont care if the decozs are full mchina or arabian provided nyumba anazopamba zinapendeza am satisfied
by the way kibanda changu hakijaisha nitakutafuta
Keep the good spirit mdada challenges are there to keep us moving on
Much respect