Tuesday, February 14, 2012
WOMENS CELEBRATION...MARCH 3
TIKETI ZA VIP ZIMESHATOKA NI 50,000 KWA KITI NA 500,000 KWA MEZA KWA WALE WENYE VIKUNDI....
PIGA SIMU 0755 551077 ULETEWE
TIKETI ZA VITI ALFU 25,000 ZITAKUWA SOKONI KUANZIA TAREHE 20 /FEBRUARI
DUKANI ::8020 FASHIONS ( SINZA MOR)I NA VIATUZI (SEA VIEW) UPANGA,ROZELLA FASHION (KINONDONI) Vazi ni Khanga.
Haya wadau wangu, kama tangazo linavyojieleza, mie nitakuwepo siku hiyo bila kukosa, and guess what..... siku hiyo itakua ni birthday yangu,,, na ninafuraha kua nilipanga kula dinner na marafiki zangu hapo Serena Hotel, sasa baada ya wiki nikaona tangazo la Shamim, kua atafanyia hapo hii event yake.
Nawakaribisha wote mtakaopenda kujumuika nami siku hii yangu ya kuzaliwa kwenye event hii maana ile dinner nime cancel, nitakuwepo. ninawakaribisha sana wote mtakaopenda kuhudhuria.
Ila nina wazo, kwa mtakaopenda kuja, nitaongea na shamim atupe meza zetu kulingana na idadi, tutakaa pamoja na kufahamiana zaidi, na kupeana michapo ya hapa na pale.
NB: Hii ni kwa single mum wote, tukitoka hapo tutakwenda either runway ama mtaniambia nyie wapi pa kwenda tuka party. Asikudanganye mtu, sisi single mums ni wazuri mno......tuvae tupendeze. na nadhani siku we have to look sexy and special, Chezea sie... hahhahaha Love u all...
Kama una wazo pls tuambizane humu.....siku zinakimbia, tujipange kabisa, ili tusiharibu budget za watoto, si mnajua majukumu tena... baba sie, mama sie, tujipange mapema...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hey Silvia nami ntakuwepo pia itakuwa ni Birthday yangu 26yrs!!Ila kwenye vigezo umenitoa mimi sio single mum.. But Am happy u are my birth mate tutakutana!!
ReplyDeleteYaani Sylvia umenitia mshawasha hahaahah! I am a single mom too but niko out of the country kikazi for now mpaka mid-may ndio narejea Tanzania basi natamanije ningekuwepo! Bwana itabidi nikirudi nikutafute tuarrange single moms event and I have a big idea for that na nimeshavisualize naona kama itakuwa bombaaaaaaaa! Take care!
ReplyDeletehi Sylvia, naipenda blog yako. Of recent umeanza kunibore na hiki kitu cha "single mothers" naomba usichangaye issue kama ni Decor stick to it. Mimi nakushauri uanzishe blog nyingine ya single mothers....
ReplyDeleteMdau
Mdau u are right, u single mom umezidi, hata mi nimeboreka. Sylvia pliiiiiiiiiiiiiiiiiiz, acha na hizo issue, kizuri chajiuza hakijitangazi, wacha wajionee wenyewe hao unaowaambia
ReplyDelete