Monday, February 6, 2012

Sources of my articals......

Habari za weekend wadau wangu, namshukuru mungu ni mzima wa afya, na ninaendelea vizuri....

Nilikaa kimya kuhusiana na hizi comments, za kuhusu mimi kutoa source, na mpaka kufikia kufananishwa na jambazi.Kingine ni kuhusu vitabu vya ramani...... Naomba nijibu kama ifuatavyo....

1. Kuhusu kutoa sources za articals.....
Mimi kwa siku hua ninasoma vitabu na magazines zisizozidi tano-nane, na kama mnavyoona hua nina update blog sometimes mpaka usiku,,,,,, na ninashinda kwenye internet mpaka late night.... na hua sina website moja ninayoiangalia na kusoma,,,,, na hii ni kutaka kuelimsha jamii, sasa basi kwa mimi kutotoa sources, kwanza sikuona kama kuna tatizo, maana,   kama ni kazi zangu basi hua ninaandika kua hizo ni kazi zangu, na ninajitahidi kuto waletea picha za ku download, ili kuonyesha uhalisia, wa kile ninachokifanya,  sasa wewe uliyetoa hizo comments, kwanza uniombe msamaha kwa kufikia hatua ya kunifananisha na jambazi, pili, kama ni uarabu na uchina, ambao mimi ninawaletea watu kwenye blog yangu, basi naomba utufundishe uzungu...... nahisi wadau watafurahi pia, 

Naomba niseme kitu kimoja, kuendesha blog sio kama unavyofikiria ni rahisi kiasi hicho...... vitu vyote mada l
zote ninazozitoa hapo ni lazima ninakua nina uhakika nazo, na ndio maana kila mdau inamsaidia kupamba nyumba yake hata bila mimi kuwepo. Lugha uliyotumia sio nzuri hata kidogo, kwa sisi watanzania, hatuko hivyo,,,, ni kiasi tuuu cha kusema kua unaomba niwe ninatoa source, mimi hua ninakubali kukosolewa. hua sina tatizo hata kidogo, jitahidi kuangalia lugha yako kabla ya kuitoa public, na hii ni blog ya kujifunza na si ya majibizano. Nakutakia kila la kheri na mungu awe nawe....

2. Kuhusu vitabu...
Nimeleta vitabu hivi kwa ajili ya kuwasaidia watu wote, mi naomba kuuliza, mkienda kwa archtech anakucharge mchoro sh. ngapi? na mie nimewaletea vitabu vyenye michoro zaidi ya 100 na kuendelea. Minaomba kwa wale watakao penda hivi vitabu na kuona umuhimu wake watanunua, na kwa wale wanaoona mie ni fisadi, basi hakuna ulazima wa kununua, ila mie ningeshauri nyie mlioandika hizo comments kua vitabu nje ni bei rahisi, pls nunueni hivi vitabu huko nje, then mniletee mie nitavigawa bure kwa watako hitaji nahisi itakua ni njia nzuri sana. (Ikifika kwenye vitu muhimu kama hivi, najua watanzania ni waelewa ila kuna wachache wanaowapotosha watu, vilikuja vitu eg, nywele, viatu,etc vikawa vinauzwa hela juuu, sikusikia mtu akilalamika, ifike mahala jamani tuwe na uchaguzi,,,,, nasi kuitana majina, kila mtu ana uhuru wa kuchagua, usimsemee mwenzio...)

NITAITWA MAJINA MENGI SANA, ILA NITASONGA MBELE NA HAKUNA ATAKAYE NI LET DOWN, NI MUNGU PEKEEEE........... NITAENDELEA KUWAELEMISHA WADAU WANGU, NA KUWALETEA KILA KITU NINACHOONA KITAWAFAAA KWA KUWAELEMISHA.....SINTOKATA TAMAAAAA.......


DUNIA NI YAKO CHAGUO NI LAKO.......

1 comment:

  1. Amina amina. Unajua si kila mtu anapenda mt afanikiwe. Na hiyo ndiyo inaturudisha nyuma. Songa mbele mama. MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE UFIKIE MARENGO YAKO ZAIDI. BIG UP MAMIE

    ReplyDelete