Thursday, May 3, 2012

Kazi ya Homez Deco-Kreative Homez, Site- Mbezi Beach.....











Ni vitanda vya four poster, design 2 tofauti, na wengi wenu mmekua na maswali kua vitanda hivi vinakuaje na je kama ni imara, jibu ni kua vitanda ni imara tena kuliko mbao, maana mbao asilimia kubwa zinaliwa na wadudu;
Ukubwa wa vitanda hivi ni 4 by 6, na tumeweka godoro la 4 by 6 inch 8....(hatutoa karatasi za godoro maana bado kuna kazi zinaendelea......yasichafuke) na godoro waweza kuweka lolote lile kulingana na uwezo wako na kukapendeza.
Karibuni sana mtoe orders......

6 comments:

  1. Habari za asubuhi dada!
    Hongera sana kwa kazi nzuri ya kupendeza!
    Mungu Aendelee kukutia nguvu.
    Hivo vitanda nimevipenda sana jamani,futi 3 kwa 6 ni shilingi ngapi?na hiyo ya 4 kwa 6 ni shilingi ngapi?
    Kazi njema,
    Mdau.

    ReplyDelete
  2. Hi Sylvia...Mambo!!
    Well,its ma first time to comment in here...kwa kifupi,U have inspired me soo much,u jst dnt knw it..What u r doing is one of ma biggest dream, at the moment nimeajiriwa wit one of the huge company in town,n I like my job though not that much,sema tu kwa sababu tu ndo inanifanya najishaua hapa mjini,si unajua tena kibongo bongo,ili mradi mkono uende kinywani!!.Lakini my dream is to see myself being 'my own boss' one day (jst like you tena at such a young age),if God wishes!!Yani huwa napita hapa naangalia the way u enjoy doing wat u r doing best,afu naishia kujisemea moyoni tu,dah,wat a lucky gal,I soo envy her,but m gonna be like her one day!!ipo siku tu...
    Well,m gonna write u an email,coz there are some few questions which are kinda personal I wanna ask u about,if u wont mind though!!
    For starters,my name is Prisca n am 25 at the moment!!

    ReplyDelete
  3. Good stuff, I love your work! Naweza kupata wapi godoro la spring? Nilipita home shopping center juzi yakawa yameisha, wapi kwingine hapa Dar wanauza haya magodoro? Thanx

    ReplyDelete
  4. dada kwanza nikupongeze kwa kazi yako nzuri unayofanya.Mimi nilikuwa naomba kma unaweza kuwa unatuwekea na jinc ya kujenga nyumba za simple ila ziwe za kisasa na hasa kwa upande wa ndani zaidi.

    ReplyDelete
  5. Sylvia hongera, natumai huishii hapo kwenye kufunga kitanda na kuweka godoro, nina imani utatuonyesha na picha ya jinsi gani hicho kitanda kitaonekana when it comes to decoration. Ningefurahi kama ungetuonyesha na muonekano wake at the end.

    ReplyDelete
  6. Sylvia. Nimefuatilia sana blog yako naona unafanya kazi nzuri sana. Hongera nyingi sana. ninaomba kujua kama unaweza tengeneza outdoor porches za chuma. if so ninaomba unijuze ili nikupe tander. Outdoor porches namaanisha set ya viti vya verrandors. Nitashukuru kwa ushirikiano. nakutakia kazi nzuri yenye mafanikio. Asante

    ReplyDelete