viko katika hali nzuri... na vina umri mdogo sana... tuwasiliane kwa atakae hitaji.... 0713 - 920565...Karibuni
NB:
Nimeanzisha kipengele hiki, kwa atakae hitaji kuuza furniture zake, tuwasiliane na nitaviweka kwenye blog kwa mauzo.....ila viwe na hali nzuri, na nitakuja kuvikagua kwanza kabla sijaviweka humu...kwa watu wa mikoani naomba mvipige picha kila kona ili niweze kukagua......
Furniture nzuri, ila ni for sale or sell
ReplyDeleteuweke na bei kabisa itakuwa safi.
ReplyDelete