![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQqByoEw0fdblh1OUvMJl_1_NWk2qOZr1Q57H3v-uW9W4QdjKbPesKCRYRDpQfFcJzG7zCxY3txempc_eGdUROwHpR0PiHh5_vb5VCss2LCV5gp8CVGoKWg8mw3szmXbSl6FCseOELDF9U/s400/bucket_cleaning.jpg)
Kuwa na vifaa vifuatavyo na hivi ni general vifaa:
- Ndoo ya usafi na dekio na hii iwe ni kwa matumizi ya usafi tuuu, ama kuna wengine huwa wanatumia mop pia ni nzuri tuu inategemea na uwezo wako.
- Fagio
- Kizoleo
- Dasta ziwe mbili ya kufutia vumbi, iwe mbichi na ingine kavu kwa ajili ya kukausha na ziwe ni cotton.
- Brash, ama hoover kwa wale wenye carpets.
- Spray bottle na sabuni yake.
- Fagio la kutoa buibui. etc
No comments:
Post a Comment