![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHyUVEZmgwWXJmlQ_OYYa-AreKw5jQaXa2qCW6NalVuxOWWmsG-8tss9u8YQMBRsPT0XGQ84xM7IuyAgLASu9O80vkHxwr1cCyF9yG6-rnrqadIjwmGOtKaqDEYXSi5sDJH5IfeJpc5BBp/s400/artistic-sense-and-decoration-sense-in-your-child.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT0gYAYG2Llq3BaleQHv4PCkZOSOT5WlElF4fH2nNUk0Vowjvg8EQ9W2_2JE6_MZc5Ktd2agI5h2WXKVFJ_xwDxjXnf8T0vguYQ8E_gIne9y40-9Nlk06YdT0KHkZBApYdHWXncGYMVbW0/s400/after-pic.jpg)
Hello Sylvia
Habazi za kazai, mimi ni mpenzi sana wa blog yako ya HOMEZ DECO, kila siku ni lazima niitembelee,nimefurahi sana kwa uamuzi wako wa kuwa mjasirimali, kweli that is my dream one day to quit this job. Wishing you all the best
Napenda sana articles na elimu mbali mbali unayotoa, nimeipenda. Hapa leo nina picha za kitchen, jamani kitchen zetu sisi wengi si nzuri, ni vizuri kushear hizi picha ze wenzetu.Nitajitadi kukutembelea dukani kwako.
Rgds
Christine
Kwa mahitaji ya kurepea sofas, za vitambaa, sasa Homez Deco tuna repea sofas, karibu kwa maswali zaidi tuwasiliane.
Siku zote hua tunatengeneza mbele ya nyumba zetu, ndani, ila tunasahau sana uani, huku wengi wetu ndio tunafikiri ni sehemu ya kuficha mauchafu yetu,
Naomba niwajulishe kuwa hayo mawazo ni potofu, hakuna sehemu kwenye nyumba zetu ndio upange ni sehemu ya kuficha uchafu. Kumbuka kunawengine wana majiko ya nje, nguo tunaanikia huko, watoto wanacheza huko etc.
Sasa basi tuwe tunakumbuka kusafisha na kuweka maeneo haya salama na pasafi.
If you have an office, house, etc and you need interior design, or interior decoration pls don't hesitate to call us and we will be there to do the work for you. Just dial 0713 - 920 565.
Ndugu wadau, kulikuwa na tatizo la comments, kwamba hazinifikii, ila nimelishughulikia baada ya baadhi ya wadau kunijulisha, sasa comments zenu mnaweza kuzi post bila matatizo.
Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu.
Habari za sasa,
Homez Deco inapenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kua tunafanya renovation, tunaongeza ukubwa wa duka.
Namshukuru Mungu mpaka hapa sasa tulipofikia, na nawashukuru nyote kwani ninyi ndio mliochangia mafanikio haya yote. Mungu awabariki.
Sylvia - Homez Deco.