hi sylvia,vituvyako viko bomba sana kaza buti mamaaa.ila sorry naweza kupata vitanda vya zile mbao nyeupe?sijui wanasema nimbao za japan?! nimependa sana hizo design zako za vitanda ila sitaki chuma my dear.sijui utanisaidiaje?
Hi, thanks a lot, sasa hivyo vitanda uvitakavyo pls karibu dukani uone catalogs then uchague na tutaelekezana vipi utapata kwani ni tunaorder straight from China na ni 1st grade.
hi sylvia,vituvyako viko bomba sana kaza buti mamaaa.ila sorry naweza kupata vitanda vya zile mbao nyeupe?sijui wanasema nimbao za japan?! nimependa sana hizo design zako za vitanda ila sitaki chuma my dear.sijui utanisaidiaje?
ReplyDeleteHi, thanks a lot, sasa hivyo vitanda uvitakavyo pls karibu dukani uone catalogs then uchague na tutaelekezana vipi utapata kwani ni tunaorder straight from China na ni 1st grade.
ReplyDeleteHi mamito,
ReplyDeleteUko juu sana, Big up, Nimependa dinning table ya pili kutoka juu. how much it costs?
thanks a lot, itakuwa ni Tshs. 800,000/- ila top ya juu ya meza itakuwa ni kioo.
ReplyDelete