Katika LANDSCAPING AND GARDNING ,Kila unachokiona hapo kina kazi yake hivyo ni baadhi ya vifaa ambayo tunatumia mi na mume wangu , pia vimekuwa ni msaada mkubwa sana na kuturahisishia kazi zetu , pia kuwamalizia wateja wetu kazi haraka na kirahisi.
Vifaa ni muhimu sana hivyo ni vifaa vyangu ktk kazi zangu, those tools they are so handy easy to use we use those tools in many ways like trimming, weed killings we mows the lawans we spreed manual , we use our tractor to carry mulch in gardens you name it. These equipments are very important and makes things easy.
Nawasihii gardners wenzangu jitahidini kununua vifaa ni muhimu sana katika kazi hii kama mnavyoona.
Hivyo vyote ni vifaa tunavyotumia so tunapokuwambia tutakufanyia kazi yako kwa siku kadhaa au tunaitaji pesa ya kununulia vitu isiwe subiri mara kuna sababu za kila aina wakati nyumba yako inathamani kubwa, na hua tunadharau sana garden, na kuona gharama ya garden ila ya nyumba si gharama, mtu unajibana mpaka unajenga. sasa kwanini na kwenye garden usijabane na ukaja kua na garden nzuri inayoendana na nyumba yako uliyojenga?
Hua tunadharau sana garden, kwa kweli garden ni gharama, na gharama zenyewe ni kuiendeleza........hilo lijulikane wazi kabisaaaa, sasa unahitajika mshauri na mjuzi akuelekeze, ni maua gani yanafaa kwenye nyumba yako, na yanayokubali udongo wako na hali ya hewa....ili usije pata hasara kwa kukauka, ama kunyauka kwa garden yako......
Kwa wenzetu mnapatana kazi unamuambia charges zako, mnakubaliana hakuna longo longo nope najuwa nanyinyi watanzania wenzangu mnaweza kama mengine yanawezekana kwanini nje ya nyumba yako maofisini mwenu pasipendeze?
Usiwe wa kuangalia gardens kwenye nyumba za wenziyo na kusifia, ona wivu na wewe na kwako kuvutie na nakupendeza.
Dear, Naomba kuuliza kama unatengeneza Metal beds ambazo ni double decor kama watengeneza ni shilingi ngapi mummy.
ReplyDeletehi, double decker ni 750,000/- karibu.....
ReplyDelete