Thursday, June 27, 2013
SMOOTH OVER SKIMMING PLASTER......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO.......
Hizi ndio smoothover skimming plaster, katika ujazo wa lita 20, ama 35 kg....wateja wetu wameanza kuzitumia nani skimming plaster inatumika nje na ndani.....Tayari imeshachanganywa, 5 in 1 formulation.
1. Ni rahisi kutumia
2. Ni imara
3. Haihitaji prima
4. Rahisi kuipiga msasa
5. Inahimili hali yoyote ya hewa
Inasaidia rangi kua na finnishing nzuri.
METAL CURTAIN POLES.......AVAILABLE BY ORDER, AT HOMEZ DECO.............
Fundi aki drill ukuta ili ku fix curtain poles za chuma.......poles hizi ni imara, hazipindi, maana ni chuma kabisaaa
Hivi ndivyo inavyoonekana baada ya ku fix curtain poles...hii ndio set nzima
Labels:
Curtains
Wednesday, June 26, 2013
MORE PILLOWS & PILLOW CASES.....DECORATIVE PILLOWS....AVAILABLE @ HOMEZ DECO.....
Mito na foronya hii unaweza kuweka kwenye sofa lako na likapendeza bila kutumia gharama na likabadilika na kupendeza....
hapa nimesha zipanga jinsi ya kuweka kwenye sofa lako na likapendeza......
Labels:
Interior
MALI MPYA....IMETENGENEZWA NA HOMEZ DECO.....
Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu na wateja wetu wote, kua Homez Deco sasa tunatengeneza bidhaa zetu wenyewe, na zina lebo zetu wenyewe.
Labels:
Interior
UJIO WA MRS. JOSSYANNE TANZANIA......KUANZIA KATIKATI YA MWEZI WA SABA 2013.....
Homez Deco inapenda kuwafahamisha wadau wote kua Mrs. Jossayanne atakuja Tanzania akitokea Marekani anakoishi na kufanyia kazi zake za Landscaping na Gardening.
Atakuja huku kwa muda wa mwezi mmoja, na akiwa hapa atafanya kazi kwa wale watakaomuhitaji, kama ni ushauri, kufanyiwa kazi etc....
Tunaomba kutangaza rasmi kua tafanya kazi kwa appointment tuu.....Tunaomba kama utamuhitaji wasiliana nasi kwa namba za simu ama email hizi hapo chini, ili uweke appointment.
Kutakua na site visit ambayo ni shs. 50,000/- hii ni usafiri, na muda wake......utahitajika kulipia ili tuweze kua na uhakika na appointment yako ndugu mteja wetu.
Hela haitarudishwa, endapo utachelewa, ama ku cancel kwa muda mchache.
Kwa atakaye cancel tutakata hela ya usumbufu shs. 25,000/-
Tumeweka mashart maana tuko serious na muda, na yeye yuko kwa muda mchache, sasa hatutaki kupoteza muda......naomba tujitahidi sana kwenda na muda ambao tutakua tumepangiana.....maana kuna muda mwingine unaweza kukubaliana na mtu, then ukifika muda unampigia, anakua hapokei, ama kazima simu kwa muda mrefu kiasi, huyo kwa kweli tutajumuisha kua ame cancel ..........
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0713 - 920565 ama email sylvianamoyo@yahoo.com
Karibuni sana.......
Labels:
Gardening
Tuesday, June 25, 2013
HIVI NI BAADHI YA VIFAA AMBAVYO MRS. JOSSYANNE ANAVYOVITUMIA KWENYE KAZI YAKE NCHINI USA....
Katika LANDSCAPING AND GARDNING ,Kila unachokiona hapo kina kazi yake hivyo ni baadhi ya vifaa ambayo tunatumia mi na mume wangu , pia vimekuwa ni msaada mkubwa sana na kuturahisishia kazi zetu , pia kuwamalizia wateja wetu kazi haraka na kirahisi.
Vifaa ni muhimu sana hivyo ni vifaa vyangu ktk kazi zangu, those tools they are so handy easy to use we use those tools in many ways like trimming, weed killings we mows the lawans we spreed manual , we use our tractor to carry mulch in gardens you name it. These equipments are very important and makes things easy.
Nawasihii gardners wenzangu jitahidini kununua vifaa ni muhimu sana katika kazi hii kama mnavyoona.
Labels:
Gardening
Monday, June 24, 2013
Foronya na mito ya mapambo ya kwenye sofa zinapatikana hapa Homez Deco.........
Size ya mito ni 45 by 45
Labels:
Interior
The Color Wheel
The color wheel or color circle is the basic tool for combining colors. The first circular color diagram was designed by Sir Isaac Newton in 1666.
The color wheel is designed so that virtually any colors you pick from it will look good together. Over the years, many variations of the basic design have been made, but the most common version is a wheel of 12 colors based on the RYB (or artistic) color model.
Traditionally, there are a number of color combinations that are considered especially pleasing. These are called color harmonies or color chords and they consist of two or more colors with a fixed relation in the color wheel.
ColorImpact is designed to dynamically create a color wheel to match your base color.
Primary, Secondary and Tertiary Colors
In the RYB (or subtractive) color model, the primary colors are red, yellow and blue.
The three secondary colors (green, orange and purple) are created by mixing two primary colors.
Another six tertiary colors are created by mixing primary and secondary colors.
Labels:
Colour
Warm and cool colors
The color circle can be divided into warm and cool colors.
Warm colors are vivid and energetic, and tend to advance in space.
Cool colors give an impression of calm, and create a soothing impression.
White, black and gray are considered to be neutral.
Tints, Shades, and Tones
These terms are often used incorrectly, although they describe fairly simple color concepts. If a color is made lighter by adding white, the result is called a tint. If black is added, the darker version is called a shade. And if gray is added, the result is a different tone.
Labels:
Colour
The basic color chords based on the color wheel.
Complementary
Colors that are opposite each other on the color wheel are considered to be complementary colors (example: red and green).
The high contrast of complementary colors creates a vibrant look especially when used at full saturation. This color scheme must be managed well so it is not jarring.
Complementary colors are tricky to use in large doses, but work well when you want something to stand out.
Complementary colors are really bad for text.
Split-Complementary
Labels:
Colour
Wednesday, June 19, 2013
Microwave Stands.....available @ Homez Deco by order....
Tshs. 95,000/-
Tshs. 120,000/-
Karibu utoe order nasi.....wasiliana nasi kwa simu namba 0713 - 920565 ama email: sylvianamoyo@yahoo.com
Karibuni
Labels:
Metal
More Beds...available @ Homez Deco by order.....
Tshs. 350,000/-
Tshs. 350,000/-
Press your order with us....by tel: 0713 - 920565 or email address: sylvianamoyo@yahoo.com
All beds are without beddings and matress.
Tshs. 350,000/-
Press your order with us....by tel: 0713 - 920565 or email address: sylvianamoyo@yahoo.com
All beds are without beddings and matress.
Labels:
Metal
Kitchen Racks available @ Homez Deco by order........
Tshs. 120,000/-
Tshs. 65,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 95,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 75,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 95,000/-
Tshs. 65,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 95,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 75,000/-
Tshs. 120,000/-
Tshs. 95,000/-
Labels:
Metal
Secondary Colors...
Katika kundi hili la secondary colors, ukichanganya rangi zozote za primary colors mbili ndio unapata secondary colors , Kundi hili lina rangi 3 ambazo ni Violet or purple, Green and Orange:
Rangi hizi ni kama ifuatavyo:
Utakapo changanya rangi ya njano na nyekundu utapata orange (katika kundi la primary utapata)
Yellow + Red = ORANGE
Red + Blue = VIOLET or PURPLE
Ukichanganya nyekundu na bluu utapata papo
Blue + Yellow = GREEN
Ukichanganya bluee na njano utapata kijani
Tutaendelea:
Labels:
Colour
Tuesday, June 18, 2013
Site ya Tabata
Hii ni site ingine tulipeleka kitanda na stool yake.....Ninachoweza kusema....vitanda hivi vinakubali godoro lolote lile......ni wewe utandikaji wako wa kitanda...
Vitanda vyetu tunaweka chaga za mbao..na hii husaidia vitanda visipige kelele, ama kuchubuka....na tunavifunga kwa kutumia blot, na zinakua ni bolt 8....hivyo ni imara......
Fundi akiweka chaga na kukifunga vizuri......
Kwa mahitaji yako ya fanicha za chuma karibu homez deco.......clik kwenye blog yetu juu kabisa icon ya metal furnitures na utaona designs zote tulizonazo.......
Karibuni
Labels:
Metal
LEATHER SOFA.. SOLD......
Sofa sets zinauzwa......ziko seti mbili, nikiwa na maana 3 sitter 2, 2 sitter 2, na 1 single sitter 4... ni pure leather....
Labels:
For Sale
PRIMARY COLORS
Niliahidi kutoa somo la rangi wiki zilizopita, ila kwa bahati mbaya tukawa tumepata tatizo la internet.
Sasa basi katika somo la rangi nimeona nianze mwanzo kabisa....ili liweze kutusaidia, na tuweze kujua utumiaji wa rangi, na rangi zipi zitumike wapi na kwa muendelezo upi ili upate mandhari ipi na ulioikusudia.
Primary Colors.....
Primary colors ziko tatu, ambazo ni Nyekundu, Bluu na Njano. Rangi hizi zimepewa jina hilo kwa sababu zinajitegemea nani rangi za mwanzo kwa upatikanaji wa rangi...haziwezi kutengenezwa kwa kutumia rangi zingine zikatokea hizi primary colors...Nikiwa na maana huwezi kuchanganya rangi flani na flani ukapata njano ama blue ama nyekundu.....
Rangi hizi ndio kianzio cha kupatikana rangi zingine kwa kuchanganya rangi mbili tofauti katika hili kundi la primary colors. Hua tunaziita pigments.
Mchanganyiko huo wa rangi mbili ndio unaofanya rangi kuvutia, na kupata rangi uliyoikusudia, ikichanganywa kwa uangalifu na kwa kiasi kinachohitajika.
Kwa mfano kupata rangi za nyumba, za wachoraji etc.....lazima watumie primary colors ili kuweza kupata rangi zingine na ambazo wamezikusudia......
Somo litaendelea........
Sasa basi katika somo la rangi nimeona nianze mwanzo kabisa....ili liweze kutusaidia, na tuweze kujua utumiaji wa rangi, na rangi zipi zitumike wapi na kwa muendelezo upi ili upate mandhari ipi na ulioikusudia.
Primary Colors.....
Primary colors ziko tatu, ambazo ni Nyekundu, Bluu na Njano. Rangi hizi zimepewa jina hilo kwa sababu zinajitegemea nani rangi za mwanzo kwa upatikanaji wa rangi...haziwezi kutengenezwa kwa kutumia rangi zingine zikatokea hizi primary colors...Nikiwa na maana huwezi kuchanganya rangi flani na flani ukapata njano ama blue ama nyekundu.....
Rangi hizi ndio kianzio cha kupatikana rangi zingine kwa kuchanganya rangi mbili tofauti katika hili kundi la primary colors. Hua tunaziita pigments.
Mchanganyiko huo wa rangi mbili ndio unaofanya rangi kuvutia, na kupata rangi uliyoikusudia, ikichanganywa kwa uangalifu na kwa kiasi kinachohitajika.
Kwa mfano kupata rangi za nyumba, za wachoraji etc.....lazima watumie primary colors ili kuweza kupata rangi zingine na ambazo wamezikusudia......
Somo litaendelea........
Labels:
Colour
Tatizo la Internet.....
Homez Deco tunaomba radhi kwa kua kimya, na hii ni kutokana na internet provider wetu kua na matatizo ya kiufundi.
Ila sasa tumerejea tena hewani.
Nawashukuru kwa uvumilivu wenu..
Sylvia Namoyo,
Director.
Wednesday, June 5, 2013
Kifuatacho: Jinsi ya kuchagua rangi za nyumba/office yako.......
Nimepata maombi yenu wadau kua mnaomba niwaelimishe kuhusu kuchagua rangi za ndani, za nje. za nyumba zetu na ofisi zetu......sasa basi nitawaletea somo hili kutokana na maombi mliyoyaomba.......
Labels:
Colour
Tuesday, June 4, 2013
Marble counter tops.......
Nilitumiwa comment na mmoja wa mdau wetu anaomba kusaidiwa ni product gani nzuri kwa ajili ya kusafisha marble counter tops.....maana zinashika mafuta, na uchafu na kuweka madoa.
Marble hizi zinawekwa jikoni ama bafuni......na katika utunzaji wake na usafishaji wake hazitaki kusuguliwa ama kukwaruzwa......wakati wa kusafisha....na zinahitaji sabuni ambayo haina kemikali katika kusafisha.....
Marble ziko za aina nyingi na rangi tofauti........
Unachotakiwa kuwa nacho ni hii super 10, chupa na kitambaa ama kitaulo kisafi cha kufutia uchafu huo....
Hapa kwenye kitambaa kinatakiwa kiwe kisafi...maana kikiwa kichafu hautakua umefanya kitu....
Kwa mahitaji ya super 10 na chupa yake wasiliana na Tija : 0713 - 336977 na atakupa maelezo zaidi ya jinsi ya kuitumia...na demonstration pia atakufanyia......
Labels:
Tips and Advice
Metal Furniture........Living room & Dinning....
Hapa ni living room kukiwa tayari tumeshaweka makochi ya chuma kama inavyoonekana......kwa upande wa rangi ya nyumba, tayari ilishapakwa na wenyewe. sasa homez deco ilihusika na makochi, coffee table na dinning table......nyumba hii imepakwa rangi ya papaya na purple.....
Hii ndio dinning table ya watu 6
Niliwashauri waweke picha za ukutani...na wakakubali....hivyo wakiwa tayari nitawashauri jinsi ya kuweka.....kwenye swala la picha bado tuko nyuma....tunatundika picha juu sana ama chini sana....na hazilingai...picha zinatakiwa ziwe eye level...yaani usiinue macho kutazama picha.....
Hapa ndio tulikua tukiingiza furniture ndani......
Furniture za chuma hupendeza kwa kweli...na hufanya nyumba kua safi wakati wote...maana unaona mpaka chini ya uvungu kama ni kuchafu ama kusafi.....
Nikiwa nimekaa kwenye kazi yangu......
Nawashukuru wateja wangu kwa kuridhika na kazi yangu......nawatakia kila la kheri......
Hii ndio dinning table ya watu 6
Niliwashauri waweke picha za ukutani...na wakakubali....hivyo wakiwa tayari nitawashauri jinsi ya kuweka.....kwenye swala la picha bado tuko nyuma....tunatundika picha juu sana ama chini sana....na hazilingai...picha zinatakiwa ziwe eye level...yaani usiinue macho kutazama picha.....
Hapa ndio tulikua tukiingiza furniture ndani......
Furniture za chuma hupendeza kwa kweli...na hufanya nyumba kua safi wakati wote...maana unaona mpaka chini ya uvungu kama ni kuchafu ama kusafi.....
Nikiwa nimekaa kwenye kazi yangu......
Nawashukuru wateja wangu kwa kuridhika na kazi yangu......nawatakia kila la kheri......
Labels:
Metal
Subscribe to:
Posts (Atom)