Wednesday, October 24, 2012
KITCHEN HOOD
Hiki ni chombo cha umeme kinachofungwa juu ya jiko, na kazi yake ni kunyonya unyevu unyevu, moshi, etc, wakati unapika....
Tumekua tukijenga nyumba zetu nzuri, na majiko yetu mazuri, lakini baada ya muda mfupi kwa upande wa jikoni, unakuta ukuta unachafuka ule upande wa jiko lako lilipo ukutani mpaka kwenye dari, ama wakati unakaanga kama ni samaki, kuku etc... basi moshi unajaa kupita kiasi....
Suluhisho lipo la kuepukana na kuchakaa kwa jiko lako kwa moshi.
Hizi kitchen hood ndio suluhisho lako.... na hapa kwetu Tanzania zinapatikana.... Ila kwa huku Dar ziko hapa Clock tower kama unatokea stesheni duka liko upande wako wa kushoto.... ukiingia pale basi we waulizie kitchen hood na watakuelezea aina walizonazo, maana pia zina aina zake...
Labels:
Interior
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TUNASHUKURU SANA TENA MNOO KWA MAELEZO HAYA, ILA WAPI NI MAFUNDI WAZURI WA KUDESIGN KITCHEN IKATOKA BOMBA HASWA BILA HILI JUU KIDOGO HILI CHINI? NA BEI ZAO ZIKOJE? ASANTE
ReplyDelete