Friday, December 7, 2012
More wallpapers......
Nimepata maswali kuhusu wallpapers, kama zinaharibu ukuta ama la...Jibu ni kua haziharibu ukuta na zinakaamuda mrefu ukutani.....
Tuna kuja kukubandikia, na hauna haja ya kununua gundi kwa bei ya tofauti......Bei ya wallpapers ni kwa square meter 1 = 30,000/- sasa inategemea na ukuta wako zinaingia roll ngapi kulingana na vipimo vya upana na urefu...
Unachotakiwa ni kunitumia vipimo vya ukuta yaani upana na urefu. halafu nitakuambia zinaingia rolls ngapi.
Kubandika wallpapers ni ukuta mmoja ambao wewe utaupenda, kwa mfani kwa sitting room tunabandika ukuta ambao ni wa tv.....
Kuta zenye madirisha wallpapers hazikai vizuri..nikiwa na maana hazina mvuto mzuri.....
Karibuni sana kwa mahitaji yako ya wallpapers...
Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu....
NB: Wallpapers zinatoka USA na UK....
Labels:
Interior
Wednesday, December 5, 2012
CHUMBA KIMOJA MUONEKANO TOFAUTI.....
Rangi hufanya chumba kuonekana kikubwa ama kidogo, hii ni dinning room kama inavyoonekana, na rangi zilizotumika hapa ni dark colors, ambapo zimefanya chumba kuonekana kidogo na kina giza.......
Hivi ndivyo rangi zinaweza kufanya chumba ama nyumba yako kuonekana, kama unataka nyumba ama chumba kiwe kina muonekano mdogo, basi paka rangi za dark colors, na kama unataka chumba kionekane kidogo paka rangi light colors, na waweza kuchanganya rangi, yaani ukuta mmoja ukawa na rangi ingine tofauti na za kuta zingine....
Karibu Homez Deco kwa mahitaji yako ya rangi kutoka Sadolin paints, rangi za Dulux. Tutakuja nyumbani kwako kukupa mahesabu ya rangi kiasi gani zinatakiwa, na utachagua kutoka kwenye color sample ambazo ziko rangi/shades zaidi ya 2000.....
Labels:
Colour
DELIVERY OF WALL PAINTINGS (DULUX PAINTS) FROM SADOLIN
Gari la Sadolin Paints kama linavyoonekana likiwa limewasili ofisini kwetu, Homez Deco Kinondoni....
Nikiwa nakabidhiwa rangi, na nikikagua rangi ambazo nilitoa order kutoka kwao......Hizi ni rangi za dulux, zimeshaanza kununuliwa na wateja wamezikubali, kwa kubana matumizi ya rangi nyingi, na hudumu zaidi ya kuanzia miaka 8-10 baada ya kupaka, na bila kupauka.....
Kwa wale wenye kuta ambazo zinasumbuliwa na ukungu, ama fangasi ya ukuta, sehemu zenye maji maji....ipo product ya kumaliza tatizo hilo......
Karibuni sana.....
Labels:
Interior
Tuesday, December 4, 2012
SOFA, BEFORE AND AFTER......(maandalizi ya X-MASS hayo.....wewe umejiandaaje)
Hapa sofa ikiwa bado haijabadilika muonekano.....
Labels:
Interior
Monday, December 3, 2012
Oda za X-mass....
Bado tunaendelea kupokea oda za x-mass na mwaka mpya....
Iwe ni:
Rangi za Dulux
Mapazia
Mito
Foronya
Ushauri
Fanicha za chuma
Wallpapers
Bidhaa za usafi za GNLD etc.....
Tunaendelea kuwakaribisha wote....na muda ni mchache hivyo tunakesha tukifanya kazi. ili kuweza kwenda na muda.....na pia ninapatikana kwenye WhatsApp 24hrs
Karibuni sana.......
Iwe ni:
Rangi za Dulux
Mapazia
Mito
Foronya
Ushauri
Fanicha za chuma
Wallpapers
Bidhaa za usafi za GNLD etc.....
Tunaendelea kuwakaribisha wote....na muda ni mchache hivyo tunakesha tukifanya kazi. ili kuweza kwenda na muda.....na pia ninapatikana kwenye WhatsApp 24hrs
Karibuni sana.......
Labels:
Interior
Maandalizi ya X-mass kwa upande wa vyombo.....
Nadhani tunakubaliana kua, bado kuna watu hua wanaweka vyombo makabatini, havitumiki mpaka mgeni aje ama siku za sikukuuu....sasa basi hiki ndicho kipindi cha maandalizi ya vyombo hivyo...
Vyombo hivi hua vimekaa muda mrefu sana kabatini......inabidi kuanza kuviandaa kwa kuviosha vizuri, maana uvundo wake kuondoka hua unachukua muda, nikiwa na maana harufu.....
Kwa msaada, nashauri utumie sabuni ya LDC ya GNLD, ni nzuri na hukata haruhu hizo, na hung'arisha vyombo vyako na matumizi yake ni kidogo mno......
Hii ndio sabuni ya LDC......ni 1Litre....matumizi yake ni kidogo mno, ukilinganisha na sabuni zingine...Bei ni 26,000/-
Baadhi ya vyombo vikiwa vimeandaliwa mezani......
Vyombo hivi hua vimekaa muda mrefu sana kabatini......inabidi kuanza kuviandaa kwa kuviosha vizuri, maana uvundo wake kuondoka hua unachukua muda, nikiwa na maana harufu.....
Kwa msaada, nashauri utumie sabuni ya LDC ya GNLD, ni nzuri na hukata haruhu hizo, na hung'arisha vyombo vyako na matumizi yake ni kidogo mno......
Hii ndio sabuni ya LDC......ni 1Litre....matumizi yake ni kidogo mno, ukilinganisha na sabuni zingine...Bei ni 26,000/-
Baadhi ya vyombo vikiwa vimeandaliwa mezani......
Hizi ni baadhi ya set up za meza kwa ajili ya x-mass.........haijalishi una vyombo vya aina gani, meza ya aina gani....hiyo hiyo uliyonayo...inafaa kwa set up...ni kuiandaa vizuri na itapendeza......
Labels:
Interior
Inexpensive Tips to Decorate Your Home for Christmas
Christmas Time is one of the busiest periods of the year, yet one of the most joyful ones. It’s not too early to think about Christmas and if you are decorating on a budget the best time to plan is now. It may happen that after all the gifts are wrapped, cookies are ordered, fancy clothes for celebration are bought, 90% of the planned budgeted amount is spent. Although the budget is tight, all of us try to decorate their homes as good as possible. So I guess these inexpensive tips for Christmas Decoration will of a great use to you!
Here is a list of inexpensive tips to decorate your home for Christmas:
- First of all take out last year’s decoration pieces. I’m sure most of them can be used this year. Just remember to store them carefully. Lights, sparkle, stars are generally stored for the next season.
- Take a walk around your area, if you are fortunate enough then you might locate berries, pine cones, tree boughs, pines, etc, that are known to impart a lively appearance to the house. You can also spray paint them in gold or silver and arrange them in vases or just lay around the house. You can also spray paint branches and make those into eye catching center pieces or wreaths.
- It is a lot of fun to make garlands with kids at home and hang them not only on the Christmas tree but also on the window and door frames.
- This is my favorite one. Create Christmas scenes on your glass doors and windows with washable paints. You can create something looking like stained-glass window.
- To make your home smell with Christmas place some nuts such as cinnamon or nutmeg in a bowl and sprinkle cider. This will fill your house with pleasant scents.
- Lights are an inexpensive way to dress up your home for the holidays and now is the time to buy them before the season starts. Red bows also look great outside on lamp posts and around porches.
Labels:
Interior
Subscribe to:
Posts (Atom)





.jpg)








