Vitanda vinapatikana Homez Deco, kwa kutoa order...na kitakua tayari ndani ya siku 7.... Vitanda vyote ni 5 by 6....
Hiki ni 450,000/- hiki ni 400,000/- hiki ni 400,000/- hiki ni 400,000/- Hiki ni 430,000/- Hiki ni 390,000/- Hiki kitanda bei ni shs, 360,000/=
Bei hizi ni bila usafiri.......utalipia usafiri tukikuletea kukufungia. chaga za vitanda hivi ni za mbao...rangi ya vitanda hivi ni nyeusi.....karibuni sana.
mamie mie npo mwanza na nmependa kitanda cha lak 3 na 60, nakipataje? na mapazia ni pesa ngap?
ReplyDelete