Sina mengi ya kuongea...sofa ni L-shape na 2 sitter moja ila kila kitu kina wezekana ukijipanga, hapa tumeanza na sofa.... tutakuja mapazia, then decorations...... ambapo rangi hii ya sofa, inakubali kutupia pillows, na throws color yoyote ile........
Mbao tunazo, sponges zipo... etc,
Dunia ni yako, Chaguo ni lako...
(Ukiamua kuvaa, nyumba ikafuata,ama, ukiamua kutengeneza nyumba, then kuvaa kutafuataa.... uamuzi ni wako)
Haujachelewa kupanga ratiba ya nini cha kubadilisha nyumbani kwako......
Tuwasiliane, kwa ushauri, huduma zetu......
Regards
Sylvia a.k.a mama Jaydan....
NB: Kazi hii ilichukua wiki moja na nusu,, na kama kawaida ya Homez Deco,, tuna Time Frame..... Alipata muda tuliokubaliana........
Mtanisamehe kwa picha, ila ninajitahidi kupiga eheeee, so mungu akipenda nitatafuta professional photographer apige kazi zangu.....
Good Job... Je twaweza pata breakdown ya sofa mtu akitaka kutengeneza kwako.. Just a basic price?? then akitaka manjonjo ita vary
ReplyDeleteHongereni sana, i like the arrangement and the colors, u did a wonderful job and im glad to know that these kinds of sofas can be made at home using our own materials
ReplyDeleteIf u look at the before and after pics u can tell there is a HUGE difference!this looks so classy!! and people have to know when it comes to interior decoration less is more most of the times
mama j thanks for changing your profile pic. ntakutafuta kwa kazi. keep up the good work, ubarikiwe sana. my love to the little one
ReplyDeleteHi Homedeco
ReplyDeleteTunaona kazi yako ni nzuri je kama unataka kubadilisha sofa bei inakuwa hiyo hiyo ya milion 3 au inapungua zaid ya hapo?
Hongera sylvia,kazi ni nzuri sana.
ReplyDeleteHongera sana dada kazi yako huwa nikiiangalia inanikosha.
ReplyDeleteMama Dja
Nimekukubali mdada,ngoja nijipange nitakutafuta
ReplyDelete