Before hatujaweka pazia
shee ikiandaliwa
yaani unaweza kumfunguza fundi akiwa kazini ukahisi anakuharibia mpangilio wa nyumba yako.... hivi kweli..... ila usihofu kila kitu kitakwenda poa....at the end
Shee ikiwekwa hooks
marinda ya pazia. fundi akifanya kazi yake.....
kabla ya kuweka pazia hua tufuta vumbi curtain poles. homez deco hatufanyi kazi ilimradi... yaani bora liende.... hiyo kwetu haipo.
hapa fundi akidrill ukuta kwa ajili ya kuweka curtain holder
nilitoa pia ushauri, kama unavyoona kua tumepunguza baadhi ya picha za ukutani, na tumetoa vitambaaa. Leather sofas hua hazitandikwi vitambaa..
Baada ya kuweka pazia. (sehemu ya kanuni ya Homez Deco ni kwamba acha nyumba safi kama ulivyoikuta, wateja wetu wamejionea hiloooo)
coffee table
Stools
photos
Hii ni kazi ya Homez Deco, tuliweka mapazia, na kama picha zinavyojionyesha...... Nyumba hii ina theme ya Africa.... Kwa kweli nilipenda sana theme hii, na upambaji wa kiafrika, hua unapendeza sana sana, na hua haichoshi mapambo yake. Sasa, mimi kama designer, kwa haraka haraka tuu mapambo yote kwa ujumla nilivyoyaoona ni kua, mwenye nyumba anapenda sana mandhari ya bahari, na ya kitamaduni ya kiafrika,,,
Naomba nikuambie, wengi wetu hua tunapamba nyumba alimradi tuuuu rangi zipo basiiii. Nyumba inatakiwa ikukaribishe, inatakiwa iwe friendly etc. Sasa basi hebu tuchukue mfano huuuuu, pamba nyumba kutokana na theme unayoipenda, Kama unapenda bahari basi weka corals etc.
Hii itakusaidia sana sana ku pamba nyumba yako, kwa urahisi sana.....
Enjoy......
No comments:
Post a Comment