Monday, October 18, 2010
HUU NI MWENDELEZO WA KAZI ZETU ZA LANDSCAPING
SOUTHERN TIER. ME & MY HUSBAND. Kama mnavyoona hii ni stage 2. tulishapanda, sasa ni maintaning, to molow the lawan to do the edges, triming, na kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kawaida, cha muhimu ktk kazi hii nikuwa na vifaa, proper landscaping equipments kazi hii inakuwa rahisi, na utafurahia kazi yako,Kwa walio wengi wetu hapo TZ hawana vifaa, kama wanvyoona ni kwa ajili ya bustani ndogo za majumbani yaani domestics gardening tools, nilizungka dar nikaona maeneo mengi , vifaa wanavyotumia azifai na wengine vinachukua muda mrefu sana, kumalizia kazi zao. Tutaelimishana kupitia blog hii ni nikifanyike, tupate ufumbuzi wa suala hili. nawapongeza wanotengeneza gardening hapo Dar na tupende kazi zetu, tudhithamini hii ni taalum kama nyinginezo tuyapende mazingira yetu tunayoiishi, na kuyalinda acheni kutupa takataka ovyo, tupa sehemu maalum, MANISPAAL YA JIJI wekeni mapipa ya taka mjini , na sehemu nyinginezo baba mama fundisheni familia zenu usafi na uifadhi wa mazingira, kumbukeni vyanzo vya magonjwa ni kwenye uchafu malundo ya takataka, kwenye vituo vya mabasi hata baadhi ya shule zina malundo ya uchafu tunawafunsha nini hawa watoto wetu?? na taifa la kesho litakuwa taifa gani,? hili nijukumu la kila mmoja wetu kuanzia ngazi ya famillia
mpka taifa, mi nimkereketwa wa mazingira tunaweza kuvaa nguo za madegsners, kuwa na magari ya kifari nyumba nzuri ila ukiangalia mazingira tunayoishi ni heart breaking, nawaombeni wizara husika amasisheni suala hili kuanzia mashule mpaka ngazi za juu, linda tunza mazingira yanayowazungka achani kutiririsha maji machafu mitaani, kuwa na vyoo visafi hasa kwenye mabaar, restaurants na sehemu za bihashara ni aibu aibu kubwa, uchafu uliotapakaa magonjwa, tuyapende mazingira tunayoishi, wanajamii wa watanzania,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment