
Bedroom hiyoooo haya sasa vitanda hivi viko kibao hapa kwetu, hii type ya decor, mtu yeyote anaweza kuifanya inategemea na wewe mwenyewe unapenda design gani,

Hivi vitu hapa kwetu vipo, ila ndio muda tu wa kuzunguka, Decor ambazo ni ghali ni hizi za traditional ama african, mimi binafsi huwa ninapenda sana African Decor.

Hii taa nimeipenda sana, hii ni creative sana, hayo ni manyoa ya kuku, ama ndege na nyasi nimependa sana

Very nice, napenda kujivunia kuwa Africa tuna decors nyingi na nzuri, wewe tuuu

Hebu ona hivi viti vimependeza sana

Mie hicho kibuyu tuuuu
No comments:
Post a Comment