Pages
(Move to ...)
HOME
CURTAINS
EXTERIOR
INTERIOR
METAL DESIGN
COLOUR
GARDENING
ADVICE
HOME GOODS RESALE
▼
Wednesday, November 18, 2009
Outdoor Plants
Outdoor plants haya ni maua yanayokaa nje, yanahitaji mwanga, maji na mbolea, na kwa maua yote yaani indoor na outdoor plants mbolea nzuri na isiyonuka ni yale maganda ya madafu sasa kiswahili fasaha sijakijua bado. Waweza kutumia vyungu vya udongo ama vya plastiki. Nitawajulisha ni lini yaataanza kupatika dukani Kreative Homez (Homez Deco & Garden)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment