Tuesday, July 15, 2014

BED SIDE LAMPS. ....ZINAPATIKANA HOMEZDECO. ...KARIBUNI. ..


 Karibuni homez deco  kwa mahitaji ya taa hizi.....husaidia sana kwa wale wanaosoma kitandani...bila kumsumbua mwenzio..ama kua na mwanga mkali....kipindi pia cha ukiwa unaamka usiku kwenda toilet ama kuangalia kitu sehemu ingine ya nyumba....badala ya kutembea gizani kutafuta switch ukutani hii taa pembeni ya kitanda itakusaidia sana...





Monday, July 14, 2014

MALI MPYA IMEINGIA HOMEZ DECO. .....WASILIANA NASI KWA MAHITAJI O713 920565.


 Homezdeco tumeleta mapambo ya ndani kwenye nyumba ...ofisi....ya mezani...kabatini...maua pia yapo...

 Maua yapo...



 Mashuka pia yapo

 Mapambo ya mezani...




 Picha za ukutani zipo pia....


Wednesday, July 9, 2014

WALLPAPERS. ...IMESHABANDIKWA...NYUMBANI KWA MTEJA.......


 Jinsi wallpapers zinavyoweza kubadili..sittingroom yako......kwa haraka ....

WALLPAPERS ZIMEWASILI HOMEZ DECO....


Mali mpya ya wallpapers zimewasili. .....tunawakaribisha wote kwa mahitaji ha wallpapers. ....

Unaweza kubandika kwenye ukuta wa tv...ama ukuta wa dinning ama ukuta wa chumbani...na kukapendeza. ...

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi..0713 920565.  Karibuni.

Nb:  bado tunaendelea kupokea mizigo mingine....na tutawajulisha soon....endeleeni kua nasi...

Monday, June 30, 2014

KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA.....



 Hii imekaaje.....unaonaje.......je unaweza uka iweka kwenye ngazi zako hapo nyumbani. ....

RANGI ZA NJE ZA NYUMBA........ZINAPATIKANA KWENYE RANGI ZA DULUX PIA.....

 Ukiangalia nyumba hizi....sio tuu kwakua ziko nje ya nchi kwa wenzetu.....lakini pia zinavutia...na zinapendeza....kuanzia juu kwenye bati..mpaka chini...na garden pia...yaani unaanza kukaribishwa na mazingira na nyumba pia kabla ya mwenyeji...
 Uzuri wa nyumba hizi....ni mpangilio mzuri wa ujenzi...rangi na garden. ...ila ntaongelea rangi leo....tumekua tukidharau rangi jamani...ama kutokujua....