Kwa wale walio na mabafu madogo na ambayo yameunganika na toilets..... nawashauri wawe na rack aina hii, ina save space, na unaweza kuwaka vitu vingi kwa wakati mmoja.... bei ni tshs. 180,000/-
Hapa kwa wale wenye jiko dogo, hii pia ni nzuri sana kwa kuhifadhi vinywaji vyako, na glass zako..... bei ni shs. 170,000/-
Tuesday, July 10, 2012
Monday, July 9, 2012
Furniture za chuma zinavyopendezesha nyumba.......
Nawatakia siku njema...........
Labels:
Metal
Pazia, site ya Tabata......
Tuliweka pazia, na tulibadilisha cover za sofa.......pazia waweza kufunga design tofauti tofauti, kulingana na upendavyo...
katika nyumba hii kwenye pazia ana curtain box.
na hizi ndio zile sofa zinazouzwa, kabati pamoja na meza ya chakula........vyote viko katika hali nzuri....
Nashukuru sana kwa wateja wangu hawa........nawatakia kila la kheri......
Labels:
Interior
Friday, July 6, 2012
Ipi inafaa nyumbani kwetu.........
Kwa wale wenye nyumba ya ghorofa, chini ya ngazi waweza buni kitu, na ukakiweka na kikawa kizuri badala ya kupaacha wazi tuu......
Mpangilio mzuri wa mawe, hupendezesha nyumba. (kokoto)....
Gazebo......
Gazebo.... zinapendeza sana, nje kwa kupumzika wakati ukipumzika, ama kutafakari, ama kukaa na wageni wako...
Kokoto, tunazo hizi hapa kwetu TZ, tuzitumie....
Haya ni magogo, yaliyokatwa vizuri na kupachikwa chini kama yanavyoonekana, na yanavutia sana......ni ubunifu ndio unaohitajika.....
Nawatakia weekend njema.......

Thursday, July 5, 2012
Mpangilio wa Kabati za nguo.....
Walk in closet
L-shape
single rooms
single rooms
single room
Walk in closet
One side closet
L-shape
One side
Leo, nimeona tuangalie upande wa kabati za nguo, Hua mara nyingi tumekua tukiweka tuu kabati za nguo bila kujua ama kwa kusia tuuu.....
Kabati, zinawekwa kulingana na matumizi yako, na ukubwa wa chumba......
Picha hapo juu zinatuonyesha ni jinsi gani unaweza kua na kabati ya nguo, inayoendana na chumba chako, na shape ziko nyingi....kama zinavyoonekana...
Hapa utapata design ya kabati itakayokidhi mahitaji yako......
Kuna design, ya L-shape, U-shape, na kwa wale wenye walk in closet etc
Nawatakia siku njema
NB::
Hapa nimeweka muone ni jinsi gani unaeza ukapata Layout ya kabati lako la nguo, sio lazima ikawa kama hizi, nasisitiza, ni layout ndio ninachokiongelea, kwa wenye chumba kimoja, nyumba kubwa etc......

Site Mbezi beach.....Tuliweka pazia...na chuma za pazia
Dinning room..........Rangi ya nyumba ni light blue, na ukiangalia kwa makini, unagundua kua mwenye hii nyumba anapenda neutral colors..... mpangilio ni mzuri, na hakujaza vitu dinning, dinning si pakujaza vitu, ndio paonekane pamependeza.....zingatia ukubwa wa dinning room yako, ndio uweke furniture, Dinning pamependeza.......
Living Room........Hapa pia ni pazuri, na nilipenda alivyoweka carpet yenye red, maana ime weza kuchangamsha....Ukijiamini unaweza... kupamaba nyumba yako.......
Hongera kwa mwenye nyumba.......na asante kwa kunipa nafasi ya kupiga picha na kuja ku share na wadau....

Wednesday, July 4, 2012
To all the single mums out there.......
Homez Deco inapenda kuchukua fursa hii kwa kina mama wote niliowataja hapo juu hii ni kwa ajili yenu.......
Vitanda nilivyovionyesha hapo juu mtavipata kwa kiasi cha sh. 295,000/- tu.....bila godoro
Toa order yako na itachukua siku saba kua tayari
Ofa hii mwisho ni tarehe 31/07/2012
Nawatakia sabasaba njema.........
Nawapenda woteeeee.......
Na mungu awe nanyi katika ulezi bora wa familia zenu.
Karibuni sanaaaaaaa
NB:
Naomba tuwe wakweli katika hili.... tunasaidiana, kwa njia moja ama ingine nasi sote tuwe na vitu vizuri.........
Subscribe to:
Posts (Atom)