href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglks-z45Ji1iM0UrqvJ3Brn49IQcKEBsaxq7kbGusL0nQuBuo2hc2IH9g5dVqfCYON4T8lM9HE4RUZlnpCDbbOctCbYSf_eN9x6WEqZeAjP_Bp8sOqP56lXqm1jzCRsF7Ua3DEBverauM0/s1600/DSCN0807.JPG">
Monday, August 8, 2011
Before & After (Curtains) Mbezi site....
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglks-z45Ji1iM0UrqvJ3Brn49IQcKEBsaxq7kbGusL0nQuBuo2hc2IH9g5dVqfCYON4T8lM9HE4RUZlnpCDbbOctCbYSf_eN9x6WEqZeAjP_Bp8sOqP56lXqm1jzCRsF7Ua3DEBverauM0/s1600/DSCN0807.JPG">
Wednesday, August 3, 2011
Mapazia - Mbezi
Hizi ni picha ya mapazia tuliyoshona site ya mbezi kwa mteja. Namshukuru mteja wangu huyu, kwani alikubali tupige picha na tuweze ku share picha hizi.
Nyumba bado ni mpya, sasa yeye anatengeneza nyumba yake kwa awamu, si mnajua kila kitu kinawezekana? Haijalishi una hela ama hauna.
Amejenga nyumba yake, umekwisha aakaahamia, akaanza kutengeneza pazia, halafu ndio fanicha. etc
Hapa tuko kazini, busy,, kwa kweli Homez deco haijalishi bosi ama mfanyakazi, wote tunaingia mzigoni ili ku meet deadline, na kazi iweze kuwa nzuri, (umoja ni nguvu, utengano ni dhaifu).
(fuatilia picha zaidi, wakati tunakwenda kumfungia nyumbani kwake)Stay tunned
Ukimya wangu
Habari za masiku wadau wangu,
Poleni sana kwa kuwa kimya, mambo yaliingiliana, (kifamilia). Ila ninamshukuru Mungu sasa niko poa na ninaendelea vizuri na ujenzi wa taifa.
Niliwa miss sana sana sana.
Tuko wote, sasa.
From,
Sylvia Namoyo.aka Mama Jaydan
Director
Monday, May 30, 2011
Kwa mahitaji ya maua ya garden, kwa bei nzuri. fika ......
wakati natoka sala sala nilipitia hii njia ya chini ya jeshini, kabla hujafika nyumba za B.O.T kuna vijana wamejiajiri wanauza maua, miche, na mapambo ya kwenye garden, kama wanyama, ndege etc. Karibuni sana sana kwa mawasiliano nao wapigie simu namba 0654 - 368897 - Felix
Last week nilitembelea Sala sala - nikakutana na hii nyumba,
Nilipewa historia yake, na nikaambiwa kuwa ilianza kujengwa tokea mwaka 1983, yaani ina miaka sawa na mimi. Nikajifunza kua ukiweka malengo hutimia, haijalishi ni lini utamaliza, pole pole ndio mwendo.
Wednesday, May 25, 2011
Jaydan & Mummy
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kumlea mtoto wangu Jaydan mpaka sasa. Na pia naendelea kuwashukuru wadau wangu wote kwa kunielewa kuwa niko katika kipindi cha malezi ya mtoto wangu. MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA.
(JAYDAN SASA ANA MIEZI 3 NA NUSU)siku zinakimbia jamani juzi tuuuu hapa, duh....
Subscribe to:
Posts (Atom)