
Friday, September 25, 2009
Thursday, September 24, 2009
Wednesday, September 23, 2009
Color Theory (nimekosa kiswahili fasaha)


Nimeamua kuchukua fursa hii kuelezea rangi kwani nimekuwa nikipata maswali mengi kuhusiana na rangi gani inafaa kuchanganyia ama nitaitumia wapi etc.
Kwanza kabisa tuna rangi 12 na zimegawanyika, kila rangi imejigawanya ktk sehemu 24 yaani kuanzia iliyokoza mpaka iliyopoa.
Kuna makundi mengi tuu ya rangi ila leo nitazungumzia makundi 3
Nayo ni:
- Warm colors
- Cool colors
- Neautral colors
Ukiangalia picha hizi hapo juu itakuonyesha makundi hayo.
Tuesday, September 22, 2009
inasikitishaaaaa!!!!
Naomba kutoa onyo, kwamba blog hiii ni ya keeleweshana na ninajua sio woteee wanaopenda maendeleo ya wenzao mimi huwa ninawaaita ni waswahili na wanaokatisha tamaaa, kweli kwa mwendo huu tutaendeleea kweli jamani? Ninachoweza kusema ni kuwa nimeamua kuungana na watanzania wenzangu na duniani kwa ujumla na wanablog wenzangu, kueleweshana kwenye mambo ya home decoration na kadhilika.
Funs wangu tusaidiane kwa hili, kwani kuna baadhi ya watu hupenda kuharibu na si kujenga. Ila ninachotaka kusema ni kuwa mimi ninaelimisha na nitaendelea kuelimisha na sio vinginevyo na sina ubaya na mtu yeyote yule.
Nimesikitishwa na watu wengine wanaoandika ujinga, matusi, na vitisho kwenye blog na kwenye sms. Ustaarabu ni kitu cha bure. huko ni KUHARIBIANA NA MIMI SIJALI KWANI HAKUNA KOSA NIFANYALO NA SINA UBAYA NA MTU YEYOTE.



























Hapa blue imepoozwa na makochi ya nadhani hii ni off white na picha ya ukutani-nimeipenda 

