Thursday, September 10, 2015

COFFE TABLE.....

 Coffee table hizi zote kila 1 bei ni 250,000.
ikiwa na stools 2 bei ni 400,000.....karibuni mtoe oda...0713920565




Tuesday, September 8, 2015

RANGI ZA NJE....ZA DULUX....MOHAWK VALLEY & BEIGE SAND

 Sasa hivi tumeanza kupata soko Morogoro....asante sana mteja wetu kwa kutuamini na kuja kununua rangi zetu
 Mteja huyu alikuja kwetu kununua rangi na alielekezwa na jirani yakebaada ya zile mvua kubwa kunyesha....na majirani wengine rangi zilikua zimebabuka na kupauka kabisa..na walipaka mda mfupi tuu.. .lakini nyumba ya aliyepaka rangi zetu za dulux huyo wa 1..nyumba yake ilikua kama mpya...wakati ilitimiza mwaka 1...
hebu ona...mtu aliyepaka rangi miezi 6 inachakaaa wakati aliyetangulia kapaka mwaka 1 bado iko vizuri....kama mpya...

 Karibuni sana kwa mahitaji ya rangi za dulux...za ndani naza nje...ni imara nzuri na hudumu na kuhimili hali ya hewa yoyote ile...na pia tunakupa ushauri rangi gani utumie na kupendeza....
Tuwasiliane....0713920565

Wednesday, August 12, 2015

MICROWAVE STANDS.....WEKA ODA YAKO SASA

 Price 110,000
 Price 120,000
 Price 110,000
Price 110,000

KABATI NA SHELF ZA CHUMA.....

 Hili ni kabati la nguo....ambalo linaweza kutumia nyumbani ama sehemu y biashara....bei ni 400,000
Shelf ya viatu pia inaweza kutumika nyumbani ama dukani....bei 490,000...
kwa mahitaji wasiliana nasi 0713920565

Tuesday, July 14, 2015

OUR WORK.....CURTAINS....

 Kwa mahitaji ya pazia wasiliana nasi....0713920565.....gharama ni kulingana na design na ukubwa wa dirisha zinaingia mita ngapi...


METAL PRODUCTS....OUR WORK...

 5by6 ....450,000
 @95,000....
30 pairs....135,000



 Kitchen busket .....200,000
5by6....400,000...

Our contacts....0713920565

Saturday, July 11, 2015

DINNING TABLE YA CHUMA......WATU 4

 Bei 750,000.....
Kwa mahitaji wasiliana nasi 0713920565....