Vitambaa hivi vinapatikana homez deco...kwa bei nzuri....kwa kila 1 ni 5,000. Nani cotton mikoani pia tunatuma karibuni sana sana.
Monday, February 23, 2015
Monday, February 2, 2015
HOME GOODS RESALE.....
Bidhaa hizi za watoto zinauzwa...hazina hata miezi 6 tokea zitumike....bado ni mpya mpya na ziko katika hali nzuri sana tuu...
Karibuni dukani kwetu..kinondoni karibia na makaburini....utupigie simu tutakuelekeza hatuko mbali na hapo....na pia tu whatsapp kwa maelezo kamili...mikoni pia tunatuma bidhaa hizi...kwa gharama za mteja....
Hizi ni gates za kufunga kwenye ngazi mtoto asipande bila uangalizi wa mtu mkubwa.....

Hii ni baskeli ya mtoto ya kujifunzia kupata balance....sasa haina pedles..atatumia mguu
Hizi ni gates za kufunga kwenye ngazi mtoto asipande bila uangalizi wa mtu mkubwa.....
Tuesday, January 13, 2015
METAL DINNING TABLE...
Nb:Meza zote hizi ni watu 4. Price ni 780,000. Meza iwe round ama square ni uamuzi wa mteja....na meza ni za kioo....ukihitaji top ya marble kwenye meza...bei ni maelewano kulingana na aina top yenyewe....
Meza ya watu 6 ni 980,000.
karibuni mtoe oda...0713920565
Labels:
Metal
Tuesday, January 6, 2015
LIVING ROOMS....
Mpangilio wa sebule yako inategemea na ukubwa wa chumba hicho....kuta zikoje...etc....kuna sebule zinafaa Lshape tuu sofa..hivyo usilazimishe kuweka sofa nyingi....na kuna sebule zinakubali aina yoyote ile...na kwenye mpangilio anza kupanga vitu vikubwa vikifatiwa na vidogo.....bila kusahau mpangilio wa rangi na vitu vidogo. Vidogo......
Labels:
Interior
Monday, January 5, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)