Tuesday, July 15, 2014
DECORATIONS....ZAIDI.........ZIPO HOMEZDECO. ..0713920565
Picha za ukutani
Mashuka
Decorations za mezani...kabatini.. shelf za kwenye kona
Picha za ukutani
Decorations. .....
Labels:
Interior
BED SIDE LAMPS. ....ZINAPATIKANA HOMEZDECO. ...KARIBUNI. ..
Karibuni homez deco kwa mahitaji ya taa hizi.....husaidia sana kwa wale wanaosoma kitandani...bila kumsumbua mwenzio..ama kua na mwanga mkali....kipindi pia cha ukiwa unaamka usiku kwenda toilet ama kuangalia kitu sehemu ingine ya nyumba....badala ya kutembea gizani kutafuta switch ukutani hii taa pembeni ya kitanda itakusaidia sana...
Labels:
Interior
Monday, July 14, 2014
MALI MPYA IMEINGIA HOMEZ DECO. .....WASILIANA NASI KWA MAHITAJI O713 920565.
Homezdeco tumeleta mapambo ya ndani kwenye nyumba ...ofisi....ya mezani...kabatini...maua pia yapo...
Maua yapo...
Mashuka pia yapo
Mapambo ya mezani...
Picha za ukutani zipo pia....
Wednesday, July 9, 2014
WALLPAPERS ZIMEWASILI HOMEZ DECO....
Mali mpya ya wallpapers zimewasili. .....tunawakaribisha wote kwa mahitaji ha wallpapers. ....
Unaweza kubandika kwenye ukuta wa tv...ama ukuta wa dinning ama ukuta wa chumbani...na kukapendeza. ...
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi..0713 920565. Karibuni.
Nb: bado tunaendelea kupokea mizigo mingine....na tutawajulisha soon....endeleeni kua nasi...
Subscribe to:
Posts (Atom)


























































