Huu ndio muonekano mpya wa rangi za Dulux.....za ndani naza nje.....nikiwa na maana ya wash 'n' ware ama silk na weather guard.
Thursday, September 19, 2013
Monday, September 16, 2013
MILANGO NA FREMS ZAKE......
Katika nyumba zetu wakati tunajenga, hua tunafanya maandalizi ya milango na frem.....na katika hili inategemea na wewe mwenyewe unahitaji milango ya ina gani? kama ni mbao, alluminium, ama imported etc.......
Nimeona tuongelee kwenye milango na frems zake......zamani tulikua hatujali sana katika finnishing za nyumba zetu, ila sasa mambo yameendelea na technology pia inazidi kusonga mbele. karibia kwenye kila kitu.
Fashion pia haiko nyuma katika finnishing ya nyumba yako, na kila kitu kinakwenda na mpangilio na aina yake na kwa urembo wake......sasa tusidharau milango. kuanzia wa mbele ya nyumba mpaka mlango wa nyuma ya nyumba.....
Nimeona tuongelee kwenye milango na frems zake......zamani tulikua hatujali sana katika finnishing za nyumba zetu, ila sasa mambo yameendelea na technology pia inazidi kusonga mbele. karibia kwenye kila kitu.
Fashion pia haiko nyuma katika finnishing ya nyumba yako, na kila kitu kinakwenda na mpangilio na aina yake na kwa urembo wake......sasa tusidharau milango. kuanzia wa mbele ya nyumba mpaka mlango wa nyuma ya nyumba.....
Labels:
Interior
HARRY & HARRIET'S WEDDING.....
Ilikua ni siku ya furaha kwa Mr & Mrs Harry....katika sherehe yao ya harusi..iliyofanyika Hellenic Hall
Labels:
vacation
Monday, September 9, 2013
RANGI ZA DULUX.......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO......KARIBUNI
Rangi za Dulux zinapatikana Homez Deco, zinapatikana rangi za ndani na za nje........nikiwa na maana za ndani hua zinaitwa Silk ama Wash 'n' ware. Za nje zinaitwa Weatherguard.......
Labels:
Colour
Wednesday, September 4, 2013
SALE SALE SALE - KITCHEN WARE @ TERRYTEVIS KITCHEN WARE- KINONDONI NEAR HUGO TOWER........PLS CONTACT 0715-350912
YELLOW MELAMINE PLATE
KNIFE SET, 5 PIECES KNIVES
FOOD STORAGE CONTAINER, 3 PIECE SET, 0.8 L, 1.2 L, 2.3 L
BEFORE TSH
8,000/-
NOW
TSH 5,000/-
3 PIECESMELAMINE
SOUP SET,
BEFORE TSH
10,000/-
NOW @
TSH 5,000/-KNIFE SET, 5 PIECES KNIVES
TSH 20,000/-
FOOD STORAGE CONTAINER, 3 PIECE SET, 0.8 L, 1.2 L, 2.3 L
vacuum pump pull out air, seals lock in
freshness, great for storing wet or dry food
BEFORE TSH 45,000
NOW TSH 30,000/-
RED WINE
GLASS
BEFORE TSH 8,000/-
NOW TSH 5,000/-
Labels:
For Sale
BEFORE MEETS AFTER.....(SITE YA MBAGALA.....TULIPAKA RANGI ZA DULUX........)
Kwanza kabisa napenda kuomba radhi kwa kua kimya kwa kipindi kirefu kidogo......na hii ni kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wangu ya kifamilia..........sasa nimerudi tena....kwa speed kama kawaida......
Homez Deco tuliitwa mbagala na mteja wetu, kwa ajili ya ushauri wa rangi, pazia, furnitures na accessories.....za ndani.
Nasi bila kuchelewa, tulikwenda na kutoaushauri kwao, na baada ya makubaliano ya rangi. tulianza kazi mara moja.......
Picha ya juu ni kabla hatujaanza kazi jinsi nyumba ilivyokua na muonekano wako......na kama uonavyo, rangi zimefifia za ukutani, na haieleweki......hii huchangiwa na ubora wa rangi utumiazo.....
Labels:
Colour
Thursday, August 15, 2013
NEXT PROJECT..........
Picha hizi ni kabla kazi haijafanyika......Homez Deco tulihitajika kupaka rangi, kubadilisha mito ya makochi, na mito ya chini mikubwa.....................
Labels:
Colour
Subscribe to:
Posts (Atom)







