Tuesday, June 18, 2013
Tatizo la Internet.....
Homez Deco tunaomba radhi kwa kua kimya, na hii ni kutokana na internet provider wetu kua na matatizo ya kiufundi.
Ila sasa tumerejea tena hewani.
Nawashukuru kwa uvumilivu wenu..
Sylvia Namoyo,
Director.
Wednesday, June 5, 2013
Kifuatacho: Jinsi ya kuchagua rangi za nyumba/office yako.......
Nimepata maombi yenu wadau kua mnaomba niwaelimishe kuhusu kuchagua rangi za ndani, za nje. za nyumba zetu na ofisi zetu......sasa basi nitawaletea somo hili kutokana na maombi mliyoyaomba.......
Labels:
Colour
Tuesday, June 4, 2013
Marble counter tops.......
Nilitumiwa comment na mmoja wa mdau wetu anaomba kusaidiwa ni product gani nzuri kwa ajili ya kusafisha marble counter tops.....maana zinashika mafuta, na uchafu na kuweka madoa.
Marble hizi zinawekwa jikoni ama bafuni......na katika utunzaji wake na usafishaji wake hazitaki kusuguliwa ama kukwaruzwa......wakati wa kusafisha....na zinahitaji sabuni ambayo haina kemikali katika kusafisha.....
Marble ziko za aina nyingi na rangi tofauti........
Unachotakiwa kuwa nacho ni hii super 10, chupa na kitambaa ama kitaulo kisafi cha kufutia uchafu huo....
Hapa kwenye kitambaa kinatakiwa kiwe kisafi...maana kikiwa kichafu hautakua umefanya kitu....
Kwa mahitaji ya super 10 na chupa yake wasiliana na Tija : 0713 - 336977 na atakupa maelezo zaidi ya jinsi ya kuitumia...na demonstration pia atakufanyia......
Labels:
Tips and Advice
Metal Furniture........Living room & Dinning....
Hapa ni living room kukiwa tayari tumeshaweka makochi ya chuma kama inavyoonekana......kwa upande wa rangi ya nyumba, tayari ilishapakwa na wenyewe. sasa homez deco ilihusika na makochi, coffee table na dinning table......nyumba hii imepakwa rangi ya papaya na purple.....
Hii ndio dinning table ya watu 6
Niliwashauri waweke picha za ukutani...na wakakubali....hivyo wakiwa tayari nitawashauri jinsi ya kuweka.....kwenye swala la picha bado tuko nyuma....tunatundika picha juu sana ama chini sana....na hazilingai...picha zinatakiwa ziwe eye level...yaani usiinue macho kutazama picha.....
Hapa ndio tulikua tukiingiza furniture ndani......
Furniture za chuma hupendeza kwa kweli...na hufanya nyumba kua safi wakati wote...maana unaona mpaka chini ya uvungu kama ni kuchafu ama kusafi.....
Nikiwa nimekaa kwenye kazi yangu......
Nawashukuru wateja wangu kwa kuridhika na kazi yangu......nawatakia kila la kheri......
Hii ndio dinning table ya watu 6
Niliwashauri waweke picha za ukutani...na wakakubali....hivyo wakiwa tayari nitawashauri jinsi ya kuweka.....kwenye swala la picha bado tuko nyuma....tunatundika picha juu sana ama chini sana....na hazilingai...picha zinatakiwa ziwe eye level...yaani usiinue macho kutazama picha.....
Hapa ndio tulikua tukiingiza furniture ndani......
Furniture za chuma hupendeza kwa kweli...na hufanya nyumba kua safi wakati wote...maana unaona mpaka chini ya uvungu kama ni kuchafu ama kusafi.....
Nikiwa nimekaa kwenye kazi yangu......
Nawashukuru wateja wangu kwa kuridhika na kazi yangu......nawatakia kila la kheri......
Labels:
Metal
Friday, May 31, 2013
Kifuatacho wiki ijayo..............
Hii ni kazi ya homez deco......
baadhi ya mito ambayo tunatengeneza wenyewe.......nikiwa ninafanya set up ya kochi na kupangilia rangi
Hapa nikikagua kazi kabla haijatoka kwenda kwa mteja na kuhakikisha kila kitu kiko sawa......
Endelea kua nasi wiki ijayo......................
Labels:
Interior
Thursday, May 30, 2013
It's spring time in New York.....
Kwa sisi landscapers ndiyo wakati wa kupanda, kutayarisha, bustani za aina mbalimbali,za maua, bushes,grasses, mowing the lawns, kwa wapenzi wa maua na bustani wa blog ya home décor,
nataka kuwakumbusha kwamba kupanda maua miti bushers hii yote inategemea, hali ya hewa ya mahali unapoishi, kwa mfano maua ambayo tunayapanda new York kwa Tanzania ynasitawi Lushoto, Arusha Iringi na Bukoba kwa kuwa, ni hali ya hewa ya hii mikoa ni ya baridi pia na mvua za mara kwa mara, mikoa yenye jua wakati wote na mvua kaisi kama Dar, pwani, Mtwara na mikoa mingineyo , pia nayo ina aina Fulani za maua ambayo yanasitahimili jua mikoa yenye jua wakati wote maua ambayo yanastawi ni begonia, Bougainvillea, hibiscus, marigold, daylilies na African violet, lilies tigers na mengine mengi tu.
Haya hapa ni baadhi ya maua yanayoweza kukua vizuri katika mikoa yenye jua ambayo nimetaja hapo juuu:
Daylily.
African violets
Bougainvillea
french marigold
Begonia
Hibiscus
Kuna aina nyingi sana za maua na miti ambayo zinastahili jua,usije ukatoa maua lushoto, kupeleka dar yatakauka na hayatasitawi na yakistawi hayatamea vizuri.
Nawashauri watumieni wataalum wa landscaping, mnapojenga nyumba zenu, commercial or business places wawafanyie kazi nzuri.
kama umejenga nyumba yako nzuri kwanini isiwe na maua/garden, miti ya kupendeza kulingana na nyumba uliyojenga...
Sehemu za baridi Arusha , Iringa, Bukoba, Lushoto, na Morogoro, Musoma etc. Hali ya hewa ya mikoa hii ni barid pia wana mvua za kila mara na zikinyesha niza muda mrefu na udongo wa hii mikoa unahifadhi maji kwa muda mrefu.
Mkizingatia maelezo wapendwa wa landscaping mtafaidika sana. asanteni.
From:
Mrs. Jossyanne - USA
|
Labels:
Gardening
Kazi imemalizika katika nyumba ya kinondoni katika zoezi la rangi...na pazia......
Hapa ni sitting room ambapo nyumba hii ina madirisha mawili......homez deco tulilipaka rangi na baada ya hapo tukaweka pazia.....na huu ndio muonekano wa baada ya nyumba kuisha kupaka rangi.....mteja wangu alihitaji rangi zilizo poa....ambazo kwa upande wa rangi za Dulux utazipata katika group ya neutral colors.....
nilimpa mawazo yangu akayakubali...na nilichokifanya baada ya hapo ni kutafuta pazia zilizo la light colors.....
Labels:
Curtains
Subscribe to:
Posts (Atom)



.jpg)











